Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,114
- 2,533
Kama system iko corrupt, vyovyote inaweza kutokea bila kujali form four, form six na vinginevyo, hii hali sitashangaa!
Shahada ndo inayohitajika? Ukikosa basi unamshukuru Mungu kwa mwenzio kupata hiyo kazi. Siyo vizuri kuamini kuwa provided una degree basi ni lazima upate.
Hivi unajua unaeza ukawa na dgree lkn 4m 4 ukawa na F ya maths af kuna 6 liva mweny "A" ya math ya 4m 4 pia "A" ya adv maths
assume we ndo unaefanya usahili utampa ajira mwenye "A" au utampa mwny "F"?
Hata mimi ningekuwa msaili nisingekupa...kazi unadegree unataka kufanya kazi ya registrar?? Wewe baada ya kujiajiri unatafuta sekita iliyo rasmi?Badala yakwenda kwenye sekta isiyo rasmi ukatuonyesha degree yako...na impact zake wewe unakilia..umesenja..kweli hii elimu imeisha...Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?
Kiwango cha elimu kinachohitajika kwenye sensa ni form four tu na wala si degree, kwenye fomu uliambiwa ambatanisha na cheti cha form four. sintoshangaa wenye degree mkiachwa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya sensa alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?
wenye degree mnapaswa kujiajiri, kama unazurura mtaani basi elimu yako haijakusaidia kitu, na hivo kazi ya sensa kadhalika haita kusaidia
Kiwango cha elimu kinachohitajika kwenye sensa ni form four tu na wala si degree, kwenye fomu uliambiwa ambatanisha na cheti cha form four. sintoshangaa wenye degree mkiachwa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
Haaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!, inawezekana ndiyo unamka au unaota,maana unacho eleza sichoKiwango cha elimu kinachohitajika kwenye sensa ni form four tu na wala si degree, kwenye fomu uliambiwa ambatanisha na cheti cha form four. sintoshangaa wenye degree mkiachwa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
mimi nina degree ila tayari kwa majina yaliyobandikwa ofsi ya mtendaji wa kata niyopo(kawe) jina langu limo japokuwa wamesema kesho kuna usaili wa kukugua vyeti.sasa sijajua kama wenye degree wote majina yao yametoka au la....ila hata mwenye degree kuachwa itawezekana tu kutokana na corrupt system
Jina lako tu "bushbaby" linasadiki ulivyo goigoi. Are u a great Galago or small Galago?
Wewe mwenye digrii umefuata nini huko?