Kama mimi mwenye degree nikikosa ajira ya muda ya sensa,je itamaanisha nini?

Well said Doreen inapendeza mtu uitumie elimu yako ili ikutumikie. tatizo tulilonalo ni kila mtu anadhani ajira au kibarua ndio mwisho wa safari ya elimu... I have been afisa sensa in 2002. ninacho kiongea nakijua tuliletewa watu wa ajabu sana wengi niliwachuja kwenye training tu. sidhani kama system imeiprove kiasi cha haki kupatikana.. walimu ndio walengwa lakini at the end of the day wataambulia vijinafasi vya chini saana na wengine wengi watakosa believe me. Its time now wasomi wetu tutumie makaratasi yetu na uelewa wetu ku create vitu
 
Issue ni what was the Qalifications needed,unaweza ukawa ova qualified,pia watu wa degree ni expensive to hire,so bajeti ita determine,last bt not least,can u deliver the expected outputs,manake kuwa na degree ni issue moja na ku perfom ni issue ingine!
 
Aisee majina yametoka jana hapa arumeru...Ndugu yangu ni graduate na amekosa kazi
Duh inauma sana
 
mimi nina Degree lakini Pale Ubungo waliochambua walikuwa Darasa la saba hawakuilewa wakanitosa hawakunipa nafasi pamoja na kupitia walikotaka. kazi za siku hizi ni Technico Know Who na siyo Degree. Ubungo simfahamu mtu wakanitupa kwenye RecycleBin wakisingizia walioomba wengi.
 
Issue ni what was the Qalifications needed,unaweza ukawa ova qualified,pia watu wa degree ni expensive to hire,so bajeti ita determine,last bt not least,can u deliver the expected outputs,manake kuwa na degree ni issue moja na ku perfom ni issue ingine!

hizi ni kazi za muda,over qualification inatokea wapi ndugu?pili aliyeomba karidhika na hiyo kazi ya muda au kakosea kuambatanisha hicho cheti chake.Tatizo watendaje hawa aim high,hawazingatii ubora,si wawajibikaji,rushwa imewatawala,macho yanawatoka,maskio yamewasimama kwa vitu vidogo,hawapo kwa maslahi ya taifa(si wazalendo),WAPO HOVYO HOVYO,wanataka wanachokiwaza wao si kinachopaswa kufanywa na wao.
 
Back
Top Bottom