Kama mimi mwenye degree nikikosa ajira ya muda ya sensa,je itamaanisha nini?

Kama system iko corrupt, vyovyote inaweza kutokea bila kujali form four, form six na vinginevyo, hii hali sitashangaa!
 
bora umemuelewesha huyo! watu wana masters na wanapigwa down vilevile! muhimu ni kuamini kuwa riziki anayetoa ni MUNGU wala sio hiyo degree yako...!!!!
Shahada ndo inayohitajika? Ukikosa basi unamshukuru Mungu kwa mwenzio kupata hiyo kazi. Siyo vizuri kuamini kuwa provided una degree basi ni lazima upate.
 
Hivi unajua unaeza ukawa na dgree lkn 4m 4 ukawa na F ya maths af kuna 6 liva mweny "A" ya math ya 4m 4 pia "A" ya adv maths
assume we ndo unaefanya usahili utampa ajira mwenye "A" au utampa mwny "F"?
 
Poor syllogism in relation to the thread.
Hivi unajua unaeza ukawa na dgree lkn 4m 4 ukawa na F ya maths af kuna 6 liva mweny "A" ya math ya 4m 4 pia "A" ya adv maths
assume we ndo unaefanya usahili utampa ajira mwenye "A" au utampa mwny "F"?
 
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?
Hata mimi ningekuwa msaili nisingekupa...kazi unadegree unataka kufanya kazi ya registrar?? Wewe baada ya kujiajiri unatafuta sekita iliyo rasmi?Badala yakwenda kwenye sekta isiyo rasmi ukatuonyesha degree yako...na impact zake wewe unakilia..umesenja..kweli hii elimu imeisha...
 
Kiwango cha elimu kinachohitajika kwenye sensa ni form four tu na wala si degree, kwenye fomu uliambiwa ambatanisha na cheti cha form four. sintoshangaa wenye degree mkiachwa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

mwenye degree unakua overgualified,so haufit vigezo .
 
Jina lako tu "bushbaby" linasadiki ulivyo goigoi. Are u a great Galago or small Galago?
 
kama unafanya mtihani unafeli basi hujui/huna akili, na sio kila anayefaulu amesoma/anajua bali inawezekana aliibia au alihonga ili afaulu, ndivyo hivyo hivyo kama umeomba na hujapata kazi sio kama huna vigezo/sifa, na sio kila anayepata kazi basi ana vigezo/sifa bali inawezekana aliyempa kazi anajuana nae/ rushwa/ 10%.
inshort ni kwamba hukuwa na vigezo vya kupata hiyo kazi hukujuana na watu/hukutaka kutoa 10%/
 
Hahahaha... Naona thread ni walio na degree vs wasio na degree...
 
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?

mbona walisema kwanza wanataka WAALIMU!, na kwa akili fupi na ndogo ya kuzaliwa ukipiga mahesabu ya walimu wote nchini utakuata kwamba wewe ambae SIO mwalimu bila kujali hata kama una digrii 3 HUTAPATA NAFASI!!.
kwakuongezea ni kwamba wanaopitisha au kuchuja watu ni ofisi ya serikali ya mtaa husika ina maana kutakua na upendeleo wa hali ya juu.
 
wenye degree mnapaswa kujiajiri, kama unazurura mtaani basi elimu yako haijakusaidia kitu, na hivo kazi ya sensa kadhalika haita kusaidia

For sure the world does not owe anyone anything, you get your chance and utilise it sio kukaa nyumbani ungonje serikali ikusaidie eti kwa sababu una cheti cha chuo kikuu.
 
Kiwango cha elimu kinachohitajika kwenye sensa ni form four tu na wala si degree, kwenye fomu uliambiwa ambatanisha na cheti cha form four. sintoshangaa wenye degree mkiachwa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

Kata ya ubungo wameachwa kidato cha sita na wamechukuliwa darasa la saba.
 
Kiwango cha elimu kinachohitajika kwenye sensa ni form four tu na wala si degree, kwenye fomu uliambiwa ambatanisha na cheti cha form four. sintoshangaa wenye degree mkiachwa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
Haaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!, inawezekana ndiyo unamka au unaota,maana unacho eleza sicho
 
mimi nina degree ila tayari kwa majina yaliyobandikwa ofsi ya mtendaji wa kata niyopo(kawe) jina langu limo japokuwa wamesema kesho kuna usaili wa kukugua vyeti.sasa sijajua kama wenye degree wote majina yao yametoka au la....ila hata mwenye degree kuachwa itawezekana tu kutokana na corrupt system

Ujinga hauondolewi na degree walah kazi tunayo. Kwa hiyo wewe unafikiri makaratasi yako ndio kigezo cha wewe kuchaguliwa. Ok then, hebu niambie: Ikiwa wewe ndio una dhamana ya kuchagua hao watu, utamchukua fresh graduate kutoka University au Form 4 mwenye uzoefu wa kazi za takwimu?

Acheni ujinga wandugu, degree yako haiihihakikishii mamlaka kuwa utafanya vizuri zaidi ya form 4. Naomba wewe na wenzio wenye akili kama zako mkumbuke si lengo la serikali kuandika mikaratasi isiyoweza kusomeka na kuirundika sehemu. Data zinazokusanywa zitakwenda kwa watu wa Data Entry ambao nao watakuwa na kazi ya kuzibadili form kwa hiyo lazima zisomeke.

Kwanza hadi ulipofikia kuandika utumbo uliouandika inaonesha kuwa una karatasi linaloitwa degree na kichwa kisicho na elimu. Usiwe mtumwa wa karatasi ulilopewa shuleni, kuwa BORA
 
Jina lako tu "bushbaby" linasadiki ulivyo goigoi. Are u a great Galago or small Galago?

Kweli kusoma sio kumaliza ujinga......Njoo nikuajiri wewe Goigoi unayesubiri kupewa Tempo ya 100,000 kwa wiki...yaani na Bachelor yako unang'ng'ania kwenda kuwa Register???????
 
Haina maana mtu kukaa tu home kama hajapata job yet badala ya kufanya hata ishu kama hii ya sensa, katika zungukazunguka or katika kufahamiana kidogo na baadhi ya watu wanaowork kwenye ofisi za serikali, anaweza kupata ishu kubwa zaidi, huwezi jua pengine kuna watu later watapata job za kudumu serikalini after kujitokeza for this ishu, watu wa Chuo wako wengi tu walioapply kwenye hii job, but kama mtu uko poa, una capital yako yakutosha kufanya ishu fulani binafsi, kujiajiri, do that, usijichoshe na kung'ang'ania kuapply kazi mahali, kuajiriwa while una uwezo wa kumake profit, cash ya kutosha kwa kujiajiri kuliko hata mshahara huo wa kuajiriwa, vijana wanatakiwa wajiamini, wawe na umoja, waanzishe ishu zao wakipata capital, kuliko kuanza kuhonga malaki ya pesa kwa ajira ambayo ungeweza hata kuwa juu kiuchumi kama utawork kwa makini binafsi, kuliko kufanya ajira hiyo ya kuajiriwa na kuishia kujipotezea muda tu, muda ambao ungeweza kudo ishu zako binafsi, ajira binafi vizuri
Wewe mwenye digrii umefuata nini huko?
 
Back
Top Bottom