ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,019
- 7,223
Kuna wana JF waliosikiliza majadiliano kati ya Mzee Mwanakijiji na Mama Anna Kilango Malecela wakavutiwa kuangalia profile ya Mama Malecela kwenye tovuti ya Bunge. Kwa bahati mbaya kuna waliomdisqualify mbunge huyu aliyeonyesha ujasiri baada ya kusoma profile yake.
Kama tunawapima watu kutokana na profile zao,huyu je mnamuonaje?
http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2000-2005&fpkey=261&vusername=GUEST")
Tumetafuta cv kwa nguvu zetu zote mpaka tukasema hugombei Urais Tz mpaka uwe na degree,baadaye tukasema degree si lazima ila mtu ajue kusoma na kuandika.Kushituka mtu anacheti cha marehemu na yuko ndani ya bunge,siku hizi tuna madakitari wengi kiasi inatia shaka,
Mimi nauliza chuo cha kufundishia uzalendo mbona hakijengwi? mimi maoni yangu,walau kuanzia elimu ya kati na kwenda juu mtu anaweza kupewa madaraka,uwezo wa kufanya kazi ni lazima pamoja na uzalendo.
Jibu ni short and clear, HAFAI!!!!
Jibu ni short and clear, HAFAI!!!!
Opportunist candidate...historia yake chafuhafai kwa vile.......
Opportunist candidate...historia yake chafu
Brazil ni kati ya nchi zinazokwenda kwa kasi sana kwa wale wanaofuatilia. Vile vile wanampango wa kwa miaka kama miwili ijayo kutafuta wataalamu kutoka nchi mbali mbali kwa ajiri ya Researches and development.
Je CV ya rais wao iko je? Soma hapa. http://www.v-brazil.com/government/executive-branch/lula.html
Tell me something I dont know.... uchafu wa mbowe ni upi? kuuza mali ya watanzania kwa wageni? kuiba pesa BoT, richmonduli, iptl, kiwira, buzwagi, bulyanhulu, bandari, au kipi ambacho sijui!
Jibu ni short and clear, HAFAI!!!!
Kama mambo ya BoT, richmonduli, iptl, kiwira, buzwagi, bulyanhulu, bandari, sote tunajua, lakini uchafu wa mbowe pia umeshaongelewa na wewe ukiwa kidedea kutetea kwenye hizo forum, I suggest you go back and find those forum, then ask yourself why are trying to defend another fisadi??
Tell me something I dont know.... uchafu wa mbowe ni upi? kuuza mali ya watanzania kwa wageni? kuiba pesa BoT, richmonduli, iptl, kiwira, buzwagi, bulyanhulu, bandari, au kipi ambacho sijui!
Freeman Mbowe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Have questions? Find out how to ask questions and get answers.
Jump to: navigation, search
Freeman Aikaeli Mbowe (born 14 September 1961) is a Tanzanian politician and chairman of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Party for Democracy and Development). Mbowe is a member of the Chaga ethnic group.
Mbowe Campaigning
Mbowe Campaigning
Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.
In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated as CHADEMA's presidential candidate. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe and Komu Campaigning
Mbowe and Komu Campaigning
Mbowe criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his party cannot afford to finance extra campaigning. Chadema eventually settled on Anna Komu to be the running mate.
He placed third out of ten candidates in the 14 December 2005 presidential election, winning 5.88% of the vote.
Mbowe is the owner of Club Bilicanas, one of the best nightclubs in Dar es Salaam. He is also the owner of Tanzania Daima, a national daily newspaper, as well as Protea Hotel Aishi Machame, a hotel in his native town of Machame, in Kilimanjaro region, Tanzania.
Mbowe is married to Lillian Mtei (daughter of Edwin Mtei, the first Governor of Bank of Tanzania). They were married on 17 August 1991. The two live happily with their children in Mikocheni A, a suburb of Dar es Salaam, Tanzania. Mbowe has three children: Dudley A. Mbowe (15), Nicole A. Mbowe (11) and Dennis E. Mbowe (8). All their children go the Dar es Salaam Independent School (D.I.S.), also in Mikocheni.