Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

Je nani alikuwa mwenyekiti wa kwanza na mwanzilishi wa CHADEMA? - Edwin Mtei

Je Mbowe alivyomaliza sekondari alienda kufanya kazi BoT kama bank office kwa qualification gani? - Ofisini kwa baba mkwe.
 
balali alikuwa dr. nn alichokifanya ktk kufuata code of conduct and professional ethics?sidhani kama elimu inaweza ikawa kigezo cha misingi awe anajua kusoma na kuandika,
 
Je nani alikuwa mwenyekiti wa kwanza na mwanzilishi wa CHADEMA? - Edwin Mtei

Je Mbowe alivyomaliza sekondari alienda kufanya kazi BoT kama bank office kwa qualification gani? - Ofisini kwa baba mkwe.

Ukijijibu namna hii sasa unaanza kukua hapa JF.

Next.......
 
Umeajiri nani akufanyie research hapa?

Mwafrika WK, una dhambi. LOL!

Jamaa kakukimbia kule kwenye thread yake ya kukandya upinzani kwa kutumia website ya CUF umemfuata huku? LOL!

E bwana mwachie huyo! Ha ha ha!

Nakumbuka siku za shule baada ya kuamuliwa bifu. Mngeambiwa, Zemarcopolo rudi nyumbani, MFWK nenda darasani! LOL!
 
Kitendo cha edwin Mtei kukikabidhi chama cha CHADEMA kwa mkwe wake ni ufisadi.
Hivyo basi CHADEMA ni chama cha mafisadi, Kimeanzishwa na fisadi na kinaongozwa na fisadi.
 
hapa marekani kuna msemo wa kuwa grounded au kwenda detention room.

Naona kuna mtu anatakiwa kuwa detention right now... lol
 
Kitendo cha edwin Mtei kukikabidhi chama cha CHADEMA kwa mkwe wake ni ufisadi.
Hivyo basi CHADEMA ni chama cha mafisadi, Kimeanzishwa na fisadi na kinaongozwa na fisadi.

mhh, kwamba ukiwa mkwe wa kiongozi wa chama basi huna nafasi ya kugombea uongozi wa kupata uongozi wa chama? Inaonekana hapa US na nchi nyingi za kimagharibi kuna ufisadi uliokithiri kwenye uongozi wa vyama kwa logic yako hii..

Hata hivyo bado unasubiriwa kujibu yafuatayo kuhusu ccm:

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
 
Je nani alikuwa mwenyekiti wa kwanza na mwanzilishi wa CHADEMA? - Edwin Mtei

Je Mbowe alivyomaliza sekondari alienda kufanya kazi BoT kama bank office kwa qualification gani? - Ofisini kwa baba mkwe.

hahaa, true dat ! i like that !
 
ebu nyie mlioko huko marekani mniambie ni saa ngapi niangalie live obama akitangazwa kuwa mgombea wa democrats. manake nataka niangalie live. labda obama anaweza kubadilisha siasa za afrika kutoka umimi wa kichama hadi utaifa wetu. alivyikuja kenya hakusita kumkoromea babu kibaki.
 
Kitendo cha edwin Mtei kukikabidhi chama cha CHADEMA kwa mkwe wake ni ufisadi.
Hivyo basi CHADEMA ni chama cha mafisadi, Kimeanzishwa na fisadi na kinaongozwa na fisadi.

nilisemahapo awali kwamba msingi wa chadema ni sawa sawa na tetemeko la ardhi ! waanzilishi hadi waendelezaji wote yebo yebo bila kusahau wadandiaji pia nao wote yebo yebo !
 
ebu nyie mlioko huko marekani mniambie ni saa ngapi niangalie live obama akitangazwa kuwa mgombea wa democrats. manake nataka niangalie live. labda obama anaweza kubadilisha siasa za afrika kutoka umimi wa kichama hadi utaifa wetu. alivyikuja kenya hakusita kumkoromea babu kibaki.

muda bado mkuu wewe endeleza kwanza fimbo hapa dhidi ya mafisadi wa ccm maana mwaka huu watakoma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom