Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

Kwanini usivumilie wewe mama yako karibu atafufuka karibuni ila ukimwi utakuwa umemmaliza sana pole sana. Vipi ulipona hakukuambukiza kweli kunauwezekano unakusumbua sana ndiyo maana unaweweseka sana hadi sasa.
Unateseka sana na utaendelea kuteseka maana ile mbuzi hairudi tena.
 
Kuna kitu hakipo sawa hapo,
Kwamba mashine inavuta lita Milioni moja kwa saa au mashine ina uwezo wa kuvuta lita Milioni moja kwa saa?

Maana lita hizo tajwa za maji ni nyingi mno kwa ajili ya kumwagilia tu.

Hii taarifa ya Serikali ni kupika.
 
Hawa wasenge wanacheza saana na akili zetu, wameshatuona mazoba basi wanatupeleka peleka tu..

Inauma, inakera lakini mwishowe unajikuta unacheka kwa ujinga tulio nao wa kuendekeza hawa kenge.
Huyo aweso na mcherengwa ndio mawaziri wa hovyohovyo hawana sifa za kua mawaziri,unasema pump ya diesel ile tumeona inavutwa lita 1m
yani ni vituko...yani pump hp haizidi 10 ivute lita hizo,ccm woyee
 
Hahahahahaaaaaaa hahaaaaaa mbavu sina


Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hiccho kibali cha kulima sinwalimpa wenyewe!
Watuyolee Sengerema sisi!
 
Hii sio zamu ya wanyonge.
 
Na ndo ukweli wenyewe!!
 

Hao ni wahujumu uchumi,ukiachana na hao wanaomwagilia ila wale wanaozuia makusudi ili kutokee upungufu hao ni kupeel their caps tu.
 
Sawa mie ningefukiwa ni kwa sababu ni binaadamu tu ila Lissu ni mungu ndio maana kifo hakimpati kimempata kilema tu cha maisha basi.
Nakubaliana na hilo kuwa utukufu upo kwa mh Lissu na nikwa miujiza ya Mungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…