Kama mahari zitabaki kuwa hivi sijui kama vijana tutaoa!!

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
Juzi hapa jamaa yangu alikwenda kuposa maeneo ya Dole Zanzibar akatakiwa nilete vitu vifuatavyo:

1. Kitanda futi 6
2. DVD player-LG
3. Kabati la nguo na la vyombo
4. Friji la milango mitatu
5. Dressing table
6. Rice cooker
7. TV flat screen nchi 32
8. Pasi ya umeme ya sonny
9. Laptop
10. Blender
11. Makochi
12. Radio ya CD 3
13. Simu ya nokia tachi screen
14. Jagi la umeme modo 8
15.pesa za wazee Tsh 250000
16.mchele wa basmat
17.blanketi za bibi na begi la shangazi
18.mbuzi watatu

watoto wa wakulima kama sisi sijui kama tutaweza
 
Badili uelekeo nenda kimanzichana utapata sawa na bure

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Juzi hapa yangu alikwenda kuposa maeneo ya Dole Zanzibar akatakiwa nilete vitu vifuatavyo:

1. Kitanda futi 6
2. DVD player-LG
3. Kabati la nguo na la vyombo
4. Friji la milango mitatu
5. Dressing table
6. Rice cooker
7. TV flat screen nchi 32
8. Pasi ya umeme ya sonny
9. Laptop
10. Blender
11. Makochi
12. Radio ya CD 3
13. Simu ya nokia tachi screen
14. Jagi la umeme modo 8
15.pesa za wazee Tsh 250000
16.mchele wa basmat
17.blanketi za bibi na begi la shangazi
18.mbuzi watatu

watoto wa wakulima kama sisi sijui kama tutaweza

km sheria imewekwa ili ikukandamize njia bora ya kuitii ni kuivunja!
 
Nawasiwasi na hiyo familia nahisi hivyo vitu hawana so wanataka kuvipata kupitia mahari!!! Hii ndio shida ya kuoa katika familia za...........! Na ajiandae kuwa mtegemezi wao baadae...! Kaah! Mahari gani hiyo sibora wangemtoza pesa nyingi wakanunue wenyewe...... Hapa naona na kukomoana pia kupo.
 
Nawasiwasi na hiyo familia nahisi hivyo vitu hawana so wanataka kuvipata kupitia mahari!!! Hii ndio shida ya kuoa katika familia za...........! Na ajiandae kuwa mtegemezi wao baadae...! Kaah! Mahari gani hiyo sibora wangemtoza pesa nyingi wakanunue wenyewe...... Hapa naona na kukomoana pia kupo.
microwave hawaitaji?
 
Akufukuzae hakuambii toka, hawana nia ndg yake aoe kwenye familia yao basi na sio vinginevyo.
 
hapo unaoa au unanunua,hiyo familia nayo itakuwa inataka
itumie chanc ya kumuoza bint yao kuepukana na umasikin uliowakithiri
 
dugp mpaka simu touch screen? alafu vitu wanataja mpaka brandy(pasi ya umeme ya sony), dah wanamuaibisha binti wao apo, dah hii ni njaa, wameona mto jagwani.
 
Nenda Mikoani utapata mke mwema
Achana na hao wenye Kauli mbiu za
Waganga ""Mganga haagiziDagaa"".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom