Kama mahari yataendelea kuwa hivi, mambo ya ndoa tutasikia kwenye redio tu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
MAHARI
KAMA MAHARI YATAENDELEA KUWA HIVI, MAMBO YA NDOA TUTASIKIA KWENYE REDIO TU.

Kijana Mmoja alienda kuposa maeneo ya fulana UNGUJA alidaiwa vitu vifuatavyo mbali ya MAHARI 1.5 miliyoun.

---Kitanda Futi 6 kwa 6.
---Showcase
--- DVD.
--- Kabati la vyombo.
--- kabati la nguo.
--- Friji.
--- Dresing table.
--- Cooker.
---Pasi.
--- Flat screen 3.
--- Tochi.
--- Jagi la Umeme.
--- Laki mbili za wazee.
__________________
Life Goes On
 
Sasa kama ndio hivyo na yeye amepanga pesa ya umeme kwa mwezi ni tatzo alafu ndio hayo yanatokea haya bana duuuh! Kweli
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom