kama kuoa itakua hivi basi ntakua single boy

Aman Cosmas

Member
Mar 17, 2013
29
6
Kama mahari zitabaki kuwa hivi sijui kama vijana tutaoa, Ulete:
1. Kitanda futi 6
2. DVD player
3.Kabati la nguo
4. Friji
5.Dressing table 6.Rice cooker
7. TV flat screen nchi 32
8.Pasi ya umeme ya sonny
9.Laptop
10.Blender
11.Makochi 12.Radio ya CD 3
13.Simu ya nokia touch screen
14.Jagi la umeme modo 8
 
Kama mahari zitabaki kuwa hivi sijui kama vijana tutaoa, Ulete:
1. Kitanda futi 6
2. DVD player
3.Kabati la nguo
4. Friji
5.Dressing table 6.Rice cooker
7. TV flat screen nchi 32
8.Pasi ya umeme ya sonny
9.Laptop
10.Blender
11.Makochi 12.Radio ya CD 3
13.Simu ya nokia touch screen
14.Jagi la umeme modo 8

dah! wanataka hadi rice cooker ulienda kuoa wapi wewe?!!!
 
hapo ukirud hom tgo huombi ila unanyoosha tu mkono na kusema anzisha biashara na baaajajiiiiiii.
 
Ushawahi kuposa mzanj?au unaongea tu,hiyo tabia ipo popote kwa watu walo na tamaa ila wanofaham dini na kufuata taratib zake hawafanyi ivo hata kama wapo zanj ok

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
zamieni india maana kule mwanamke ndo anatoa mahari na c ya kitoto familia ipo tayar hata kukopa ilimradi tu mtoto aolewe.
 
Kama mahari zitabaki kuwa hivi sijui kama vijana tutaoa, Ulete:
1. Kitanda futi 6
2. DVD player
3.Kabati la nguo
4. Friji
5.Dressing table 6.Rice cooker
7. TV flat screen nchi 32
8.Pasi ya umeme ya sonny
9.Laptop
10.Blender
11.Makochi 12.Radio ya CD 3
13.Simu ya nokia touch screen
14.Jagi la umeme modo 8

YANNNNN HIyo ni MALI na Sihi MAHARI ndomaaaaana sasahivi kunahadi kukopa mkeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom