Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

Mwehu ambaye alishindwa kutabiri kuanguka kwa jengo lake na kuuwa mamia ya watu, kisha baada ya kuona taarifa ya habari kwente TV atabiri kwamba kuna uwezekano kukatokea ajali nyingine ya ndege inayohusiana na Malaysia Airline.

mbona unahangaika sana? Mnamwamini huyo mwehu Joshua aliyefanya kafara kwenye jengo lake?
 
Katika moja ya vikao vya bunge la Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.

Sasa inakuwaje tunasikia katika makundi ndani ya CCM(mafisadi) kundi lake ndilo hutumia fedha kwa kiasi kikubwa ili kupenyeza watu wake kushika nyadhifa mbali mbali ndani ya chama na serikali; huku yeye Lowassa akijiandaa kugombea urais kwa tiketi ya ccm kwa kutumia fedha? Je, hauamini unabii uliotolewa juu yake na TB Joshua? Kwa nini amsaidie mungu kukamilisha unabii wake? Au huyo, mbunge mwanamama alikuwa mzushi tu?
Lowasa21.jpg

Mh. E. Lowassa akiwa Nigeria akishiriki ibada katika SOAN na mwenye kipaza sauti ni nabii TB Joshua
mwaka jana.


Acha uongo. Hakutabiriwa chochote siku aliyo kwenda SCOAN.

Video ya EL kuwa SCOAN ipo Kwanini usiiweke watu waione?

Why telling lies?

What do you get when you tell lies?
 
Hivi wewe na akili zako unamwamini yule agent wa Shetani.Pole sana.Umefumbwa macho na Shetani kiasi hicho.Baada ya kukatiwa fungu na EL aliweweseka tuu,ndivyo watumishi wengi wa uongo walivyo!
Wana jf.
Yule muhubiri maarufu Africa T. B. Joshua kwa mara nyingine tena amemtabiria Edward Lowasa kuwa rais ajae wa Tanzania katika mahubiri yake jana ijumaa jioni tarehe 5.6.2015

Source..TV Emanuel
 
hakuna ambaye hatumii pesa...kuanzia kuchukua fomu mpaka kusaka wadhamini
 
Mungu wa Tb Joshua ni wa maajabu sana, uwezo wake ni kuwatabilia wengine maafa na mafanikio, lakini alishindwa kujitabilia mwenyewe kuporomoka kwa jengo la kanisa

Au ndiyo ule usemi wa mganga hajigangi?.
 
Mpaka Mungu afikie kiasi cha kuwapa utawala mafisadi ina maana kuwa Mungu nae amefikia kiwango cha kununuliwa na mafisadi?.
 
Utake usitake ukweli ni kwamba Hon. Lowassa ndiye rais wa Tanzania 2015. Acha chuki binafsi, Lowassa hatumii rushwa bali anakubalika kutokana uchapa kazi wake.

afya yake kwa sasa hawezi. bora ya Mgabe, maa EL amefikia hatua ya kutembea kama zombie. hana uwezo wa kutembea kwa ukakamavu
 
mkuu rushwa ndio njia pekee ya kushinda uongozi wa ccm , hakuna cha utabiri wala nini ? mtabiri akitokea africa basi ujue ni mpiga ramli tu .
 
Ndugu wanajamii wenzangu yule nabii joshua kutoka Nigeria ametabiri rais ajaye ni lowasa.je itatimia?yetu macho.ila kwa mvuto aliokuwa nao wakati wakusaka wadhamini utakubali tuu.
 
Ndugu wanajamii wenzangu yule nabii joshua kutoka Nigeria ametabiri rais ajaye ni lowasa.je itatimia?yetu macho.ila kwa mvuto aliokuwa nao wakati wakusaka wadhamini utakubali tuu.
TB Joshua alishindwa ktabiri anguko la hekalu lake na likatekeketeza watu wengi ndivyo itakavyokuwa kwa Lowasa ambapo atapata anguko asilo lijua Tarehe 12 July 2015
Take it from me!
 
Ndugu wanajamii wenzangu yule nabii joshua kutoka Nigeria ametabiri rais ajaye ni lowasa.je itatimia?yetu macho.ila kwa mvuto aliokuwa nao wakati wakusaka wadhamini utakubali tuu.
Hata JOYCE BANDA, naye alitabiriwa kuwa angeshinda kwa kishindo!!! kilichotokea sijui.
 
Back
Top Bottom