Haswa ndo anchomaanishalabda anamaanisha misaada
Mwenye huu muandiko kama namjua vile hapahapa jf, ajitokeze mwenyewe plz kabla cja m mention!
Mwenye huu muandiko kama namjua vile hapahapa jf, ajitokeze mwenyewe plz kabla cja m mention!
Usinicheke miss neddy huyo jamaa ni nani?
aiseee unaonekana mgeni au mkimbizi mkuu huyo jamaa ndio bingwa wa kuandika kwa style hizo humu jamvini
Na ndo maana nikwamwambia miss neddy asinicheke