Kama kweli unampenda fanya hivi leo..............

Kama kweli unampenda fanya hivi leo..............

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
kama kweli mnapendana na mpenzi wako au kipenzi chako ,
badilishaneni simu zenu mpaka saa 6 mchana tu....
Msaidieni kujibu text na sms za whats ap...lol !!
 
Hahahahaaaa acha ugomvi Mpwa mbona unataka kutenganisha ndoa za watu Mpwa???
 
Niniiiiiii kizazi hiki cha sijui analojia sijui dijitali mbadilishane simu!!!!!!haki ya nani vile unatafuta presha kwa nguvu,bora kukaa kimya tu au waswahili wanasema kufunika kombe shetani.........................
 
presha presha ya nini ,km kweli unaniamini baada ya hapo badala ya kuwa siku ya valentine itakua siku ya wachukianao
ahahaha wabongo tunazungukana na ndio maana unashangaa wazee wa miaka 70 wanapata ngoma sawa na watoto wao wa miaka 50 hushangai
 
niniiiiiii kizazi hiki cha sijui analojia sijui dijitali mbadilishane simu!!!!!!haki ya nani vile unatafuta presha kwa nguvu,bora kukaa kimya tu au waswahili wanasema kufunika kombe shetani.........................
mi na kipenzi changu tangu jana tumebadilishana ...tutarudishiana leo jion wakat wa lovely dinner
 
Haya mkuu hongera sana kama mnaaminiana kiasi hicho na mpenzi wako!ila 80%ya mahusiano ya sasa hamna kuaminiana.
mi na kipenzi changu tangu jana tumebadilishana ...tutarudishiana leo jion wakat wa lovely dinner
 
kama kweli mnapendana na mpenzi wako au kipenzi chako ,
badilishaneni simu zenu mpaka saa 6 mchana tu....
Msaidieni kujibu text na sms za whats ap...lol !!
Mh,mi staki D 007 ,nampenda sana mke wangu na wala sitamani tuachane,hiyo kitu bana kwangu NO.
 
Mm! Unataka Valentine day iwe Valleyday kwa mabonde ya ngumi nyusoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom