Fursa!Kuna kitu ambacho sikielewi, kuna kundi kubwa la walimu halina ajira, halafu kuna kundi kubwa la waliomaliza la saba hawana nafasi secondary, si mwenge tu madarasa?
Inaonekana elimu yako ni ya kubahatisha.Kwa kuwa walikuwa hawachujwi ndio maana hata wanafunzi enzi hizo walikuwa mbumbumbu na hata sasa madhara yake yanaonekana. Bado kuondoa dhana potofu ya ufundishaji mashuleni ni kikwazo kutokana na hao waluoingizwa kiholela
Kwa hiyo 2015 uhitaji ulikuwepo,mwaka mmoja baadaye (2016) uhitaji ukaisha?Kuajiri watumishi siyo fashion bali kinachoamua ni uhitaji
Kama JK aliajiri wahitimu wote kila mwaka unategemea uhitaji utakuwa vilevile milele.
Huyu anajazia nafasi za waliostaafu,kufariki na waliofukuzwa kazi tu.
Hiyo miradi haitegemei watu wa kuitekeleza,ambao ni wataalam?Tunahitaji wataalam kila siku,na pia afya ni suala nyeti.Wr huoni miradi tuliyonayo mkuu??
Da!!!!Namnukuu baba lao aliyosema mei mosi 2016
"Lakini mimi nikaona badala ya kuongeza mishahara, tujenge sgr na miundombinu mingine ambayo itasaidia baadaye, lakini nawaahidi ndugu zangu wafanyakazi kabla ya kipindi changu kuisha nitawaongezea mishahara na nyongeza itakuwa nyongeza kweli kweli sio ile ya 10000."
Kama mligoma maandamano, acha tuendelee kuisoma namba.
Usipotoshe sio wote wenye akili za ki ccmkwa iyo indicator ya pato kuwa juu mpaka walimu waajiliwe?? VP wanasheria, mifugo, uvuvi, wachumi, mainjinia, waandishi wa habari, utalii, mambo ya masoko, polisi, jeshi, etc...
Sikukuelewa mkuukwa iyo indicator ya pato kuwa juu mpaka walimu waajiliwe?? VP wanasheria, mifugo, uvuvi, wachumi, mainjinia, waandishi wa habari, utalii, mambo ya masoko, polisi, jeshi, etc...
Huyu anapotosha kijinga, ukweli uko palepale.Usipotoshe sio wote wenye akili za ki ccm
Hivi mnapoenda chuo huwa kuna makubaliano mnaingia na serikali kwamba mkihitimu lazima iwaajiri?Kwa hiyo 2015 uhitaji ulikuwepo,mwaka mmoja baadaye (2016) uhitaji ukaisha?!!!!
Unajua uwiano wa daktari kwa mgonjwa,nurse kwa mgonjwa,na mwalimu kwa mwanafunzi?
Ulitoa hizo takwimu na uhalisia tutazungumza.Otherwise huwezi kujenga nchi yako.
Hospitali iwe second option,ujinga Kama huu ukiwa serikalini nfio maana nchi haiendelei.Hivi mnapoenda chuo huwa kuna makubaliano mnaingia na serikali kwamba mkihitimu lazima iwaajiri?
Kama yapo si muiburuze kortini?
Kila awamu inaingia na priorities zake tatizo linaanzia pale mnapolazimisha mambo ya JK awamu ya tano.
Shule nyingi za kata zimefunguliwa kuanzia 2004-2010 hivyo uhitaji ulikuwa mkubwa ndiyo maana na ajira zikawa fungulia mbwa.
Aliowaajiri Kikwete kwa miaka 10 walikuwa wengi kuliko hata mahitaji ndo maana walimu kibao tu wa Secondary wamepelekwa msingi na kwa kauli ya Ndalichako 2019 hao waliopelekwa msingi walitakiwa wapigwe "redundance".
Doctor-Population ratio ya WHO ni siasa tu, haiwezi kuwa uniform dunia nzima ilhali jamii zingine hospital ni second option.
Nenda kwa wahadzabe na jamii kama hizo kama wanaijua hata hospital.Hospitali iwe second option,ujinga Kama huu ukiwa serikalini nfio maana nchi haiendelei.
Ipo siku tope litakutoka kwenye ubongo wako,ndipo utaacha kushabikia ujinga,kisa you're favoured.Hivi mnapoenda chuo huwa kuna makubaliano mnaingia na serikali kwamba mkihitimu lazima iwaajiri?
Kama yapo si muiburuze kortini?
Kila awamu inaingia na priorities zake tatizo linaanzia pale mnapolazimisha mambo ya JK awamu ya tano.
Shule nyingi za kata zimefunguliwa kuanzia 2004-2010 hivyo uhitaji ulikuwa mkubwa ndiyo maana na ajira zikawa fungulia mbwa.
Aliowaajiri Kikwete kwa miaka 10 walikuwa wengi kuliko hata mahitaji ndo maana walimu kibao tu wa Secondary wamepelekwa msingi na kwa kauli ya Ndalichako 2019 hao waliopelekwa msingi walitakiwa wapigwe "redundance".
Doctor-Population ratio ya WHO ni siasa tu, haiwezi kuwa uniform dunia nzima ilhali jamii zingine hospital ni second option.
Mjinga tu atakaye amini kujenga hospital ni first option..ujijenga mahospitali target yako watu waugue..ili uwatibu..sawa na kujenga majereza..badilisheni mitazamo tunahitaji zaidi public health approached hususani preventive measures.Hospitali iwe second option,ujinga Kama huu ukiwa serikalini nfio maana nchi haiendelei.
Akili yako ndogo sana wewe.Wahadzabe ni asilimia ngapi ya watanzania wote?Nenda kwa wahadzabe na jamii kama hizo kama wanaijua hata hospital.
Halafu wewe mwenye akili unalialia kuajiriwa tena ualimu.😁!
Nyie ndo mtaendeleza nchi?
Wenye akili akina Elon Musk hawajawahi kuajiriwa popote.
Upumbavu ni mbaya kuliko ujinga.Mjinga tu atakaye amini kujenga hospital ni first option..ujijenga mahospitali target yako watu waugue..ili uwatibu..sawa na kujenga majereza..badilisheni mitazamo tunahitaji zaidi public health approached hususani preventive measures.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umeelewa maana ya "na jamii kama hizo"Akili yako ndogo sana wewe.Wahadzabe ni asilimia ngapi ya watanzania wote?
Na je, unategemea jamii ya dunia hii iishi bila hospitali za uhakika kisa miti shamba?Kiwango gani Cha elimu unacho?au kusoma na kuandika!!