Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,376
- 105,865
Michango mingi haina namba?Hili swali ndilo nililouliza mwanzo kabisa mwa machango wangu katika mada hii.
Kusema kweli swali hili nimeshalijibu katika michango mingi kwenye mada hii.
Kila post ina namba, weka link hapa au toa namba ya post.
Umesema Mungu ni nguvu, hii complex order iliyopo haiwezi kujitokeza yenyewe tu.
Nikakuambia hii hoja yako itataka hiyo nguvu nayo iwe na muumbaji wake/ chanzo chake, isiweze kutokea tu, na kwa hivyo, katika ulimwengu huo ambao kila kitu kitahitaji kuwa na muumbajinwake, hapo hakuna Mungu muumba vyote.
Sijui kama hata ulielewa hii hoja yangu, na sioni ulipoijibu.