Kama kweli makanisa yanaongozwa na wasomi, ni kwanini picha feki ya Yesu mzungu bado inatumika? Yesu alikuwa Mweusi, kuna anayebisha?

Kama kweli makanisa yanaongozwa na wasomi, ni kwanini picha feki ya Yesu mzungu bado inatumika? Yesu alikuwa Mweusi, kuna anayebisha?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,516
Reaction score
46,602
kama binadamu wote wametokea Africa (Genetic Fact), Adam na Hawa wamekuaje wazungu?

View: https://www.instagram.com/reel/DOx5fvOkcVk/?igsh=MW43dWt5eWp5eWNvbA==

==========================

Ukweli kwa sasa umejulikana, Yesu alikuwa mweusi, look up juu ya hili kwa mtu yeyote au chanzo chochote unachokiamini, na atakudhibitishia hili!

Swali langu, ni lini picha halisi ya Yesu mweusi itaanza kutumika makanisani?! Au atleast za yule mzungu feki ziondolewe kupunguza madhara ya kisaikolojia wanayopata watoto wetu kwa kujikuta wanaabudu wazungu ‘subconsciously’. Maana wapo wanaodai ‘YESU NI MUNGU’!

View: https://www.instagram.com/p/DJfdPlnOAf9/?igsh=bGtjMmkzazVmanlw

==========================

View: https://www.instagram.com/reel/DIdyVkbsFlk/?igsh=MTd6bGN4eTc5ZnR6Mg==

==========================

View: https://www.instagram.com/reel/DIH5oqaSxeH/?igsh=MXVzNHV4Z2Nxbmp6Yw==
 
Ukweli kwa sasa umejulikana, Yesu alikuwa mweusi, look up juu ya hili kwa mtu yeyote au chanzo chochote unachokiamini, na atakudhibitishia hili!

Swali langu, ni lini picha halisi ya Yesu mweusi itaanza kutumika makanisani?! Au atleast za yule mzungu feki ziondolewe kupunguza madhara ya kisaikolojia wanayopata watoto wetu kwa kujikuta wanaabudu wazungu ‘subconsciously’

View: https://www.instagram.com/p/DEzeFakx275/?igsh=dWxjNWlmdWR6Njh5

Tulipigwa sana halafu wasomi ndo wajinga mno kenye mambo ya dini
 
Mjadala kwamba Yesu alikuwa mweupe au mweusi kwa sisi tunayemuamini kuwa ni mwokozi na Bwana wetu aliyetuokoa kutoka dhambini na kutoka nguvu za giza na kutuweka nuruni hauna tija. Kwamba alikuwa baunsa au kimbaumbau hilo si la kututikisa kiimani. wafuasi wa Yesu tuko imara kiimani hatutatikisika milele kwamba mwokozi wetu alikuwa na wajihi gani
 
Kama haina tija, toeni ile feki ya mzungu wekeni ya mfanano na mtu mweusi.., halafu tutajua kama kuna tija au hakuna..
 
Kama haina tija, toeni ile feki ya mzungu wekeni ya mfanano na mtu mweusi.., halafu tutajua kama kuna tija au hakuna..
sisi waafrika tuliletewa injili na tukajua picha ndio iko hivyo. Huoni tukiweka nyeusi tutapotosha wengi? Itoshe tu kuamini alikuwa vile kama tulivyoletewa na wamisionari
 
Wanateolojia hawana shida na Yesu wa Historia. Zipo picha makanisani zinazoonyesha Yesu mweusi. Ukitaka kumuona Yesu mzungu, mchina, mwafrika ni wewe. Chamsingi ni kazi yake ya ukombozi kuteswa, kufa, kufufuka, kupaa mbinguni, na ujio wa pili( fumbo la Pasaka)

Hivyo vingine havina maana sana. Muone Yesu unavyotaka wewe.
 
Attachments

  • Mafa038 - 2025-03-15T121559.260_1.jpg
    Mafa038 - 2025-03-15T121559.260_1.jpg
    166.2 KB · Views: 41
sisi waafrika tuliletewa injili na tukajua picha ndio iko hivyo. Huoni tukiweka nyeusi tutapotosha wengi? Itoshe tu kuamini alikuwa vile kama tulivyoletewa na wamisionari
Kama uliletewa temana nayo
Ni uongo mtupu kama hata utambulisho wake ni wa uongo
Inaonekana wa Israeli kuna ukweli wanaujua ndio maana hawafuati hii dini, wanaona haiwezekani waingozwe kiimani na mweusi
Hapo ndio Vatikani waikaamua kubadilisha picha ili iendane na rangi zao
 
sisi waafrika tuliletewa injili na tukajua picha ndio iko hivyo. Huoni tukiweka nyeusi tutapotosha wengi? Itoshe tu kuamini alikuwa vile kama tulivyoletewa na wamisionari
Hao wamisionari walifahamu Yesu ni mweusi, ila wakaleta picha za mweupe, hujiulizi kwanini?
 
Back
Top Bottom