HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo.
Ni wazi mungu wa biblia na quruan kashindwa kuwatetea waTz hivyo hawa watu wenye nguvu za asili za Mungu wakweli amkeni muwatete na kuwakinga waTz na viongozi waonevu.
Ni wazi mungu wa biblia na quruan kashindwa kuwatetea waTz hivyo hawa watu wenye nguvu za asili za Mungu wakweli amkeni muwatete na kuwakinga waTz na viongozi waonevu.