Kama kweli kuna majini mahaba basi hili langu ni kiboko

General Galadudu

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,868
2,199
Yani siku nikilala bila kugegedana na wife lazima siku hiyo niote nagegeda mwanamke..... tena cha kushangaza zaidi mara zote mwanamke ninaeota namgegeda ni member mwenzetu humuhumu Jf lakini sijui huwa ni nani na hata ID yake ya humu siifahamu ,

wazoefu wa hayo madubwasha huwa wanasema kwamba kama ukimuwazia sana mtu flani kwny suala la kugegedana basi hata jini mahaba likiamua kukuijia litakuja kwa sura au mfano wa huyohuyo (na mi kusema ukweli kuna member mmoja humu huwa namuwazia sana kucheza nae TUKUNYEMA kitandani)....... maajabu hayo

Kama ni kweli yapo hayo madude basi ni noma maana hili la kwangu linanipaga MAPENZI MUBASHARA sana (halafu mwenzenu hata maana ya hilo neno MUBASHARA siijuagi mi najisemeaga tu) linanipa staili mbali mbali za kuiteka akili na nafc yangu, jumamosi limenifurahisha zaidi baada ya kunipa ile staili ya BOMBERDIER,muda huu wa saa 6 ucku nimestuka usingizini ili niwaletee mkasa huu kwa sababu nimetoka kulifyatua ki1......

Jumapili ya juzi tulikuwa baa na rafik yangu mmoja ambae ni dokta, nilimkuta pale baa mida ya saa 5 hivi ucku keshalewa tilalila..... ktk story za hapa na pale c nikamuelezea suala langu..... hee!! nikaona jamaa anatoa vifaa vya kupimia ukimwi ili anipime huku kalewa vilevile, eti anahisi huenda limeshaniambukiza....!!

Nilimgomea maana suala la kupima hiyo kitu linahitaji maandalizi ya muda mrefu sana, sio unakurupuka kupima na hali yenyewe hii ya hapa kazi tu mwisho unajikuta unakosa utulivu wa kusubiri majibu unaamua kujinyonga bure.....

Nilipokataa kupimwa ngoma ucku ule tena baa jamaa akanipa condom tena na ushauri wa ajabu kabisa eti nikiwa nataka kulala nivae condom ili lisije kuniambukiza ukimwi.....!!

Kwa mnaojua kuzuia hayo madude hebu mnishauri nifanyeje? japo napata raha mubashara, matusi sitaki.
 
Back
Top Bottom