Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,061
Ajari mbaya za mabasi ambazo nyingi husababishwa na over speeding,lakini mwisho wa siku utasikia kazi ya Mungu hiyo. Dah!!
Dereva kaovateki kwenye kona,mlima,darajani,haoni aendako lakini yeye ana ovateki tu mara paaaaaapu ajari eti Mungu kapanga,
Uchafu wa mazingira tunayo ishi kipindupindu kikianza kufanya yake utasikia Mungu huyo kashusha gonjwa
Hivi Mungu tunamchukuliaje sisi watanzania??
Mtu kaenda kujenga ktk bonde la msimbazi kwa hiyari yake mwenyewe mara mvua hiyo mafuliko yamemsomba utasikia Mungu huyo kaamua ..
Mtu anaambiwa kabisa wazi wazi kabisa ukigonga mzigo bila condom Ukimwi utakusomba hasikii,ngoja aukwae sasa utasikia kila kitu hupanga Mungu hivyo hii ni kazi ya Mungu
Jamani hivi sisi wa Tanzania alie turoga ni nani kiasi hata mambo ambayo tungeweze kuyaepusha kwa uwezo wetu tulio pewa na Mungu lakini tunashindwa au kupuuzia na yakitupata majanga ooooh Mungu kaamua.
Mtu ana pesa yake anataka kujenga gholofa anatafuta wataalam wana mpa ushauli wa kitaalam utasikia Engineer punguza nondo kidogo zisiwe nyingi sana,mara punguza uwiano wa cement na kokoto pia mchanga,mara gholofa limeshuka paaaaaaaaaa limeuwa utasikia Mungu huyo
Jamani Mungu huyu anakisasi na sisi au?
Mtu umeme umekatika anawasha mshumaa vizuri tu,baadae anauweka juu ya meza mbaya zaidi meza yenyewe ina kitambaa juu yeye huyoooo chumbani na mkewe,mshumaa kauacha juu ya meza sebureni yeye na mkewe usingizi mara mshumaa umeshuka mpaka kwenye kitambaa mara moto huo nyumba inateketea kwa moto utasikia tu Mungu huyo yaani imejichoma kwa moto sababu ya uzembe wako lakini lawama anapewa Mungu.
Unaendesha bodaboda kwa speed ya hatari mara umeingia hivi,mara umetoka vile mara umeovateki mara paaaaaaaaaaaaap kichwa kule utasikia Mungu kamchukua mja wake ktk hili mm nafikili inakua mja kalazimisha safari isio muhusu.
Na mengine mengi ambayo nikisema niyaolozeshe hapa ni mlolongo mrefu sana,SASA SWALI LANGU KWENU WADAU NI HIVI,,KAMA MUNGU NDIO HUFANYA HAYO NILIO YATAJA HAPO JUU INA MAANA HATUPENDI SISI WA TANZANIA AU VIPI?? NA KAMA MABAYA HAYO SABABU NI MUNGU NIJULISHENI KAZI YA SHETANI MAANA NIMECHOKA KUSIKIA KILA BAYA MUNGU LAZIMA ATAJWE.