Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

Banda chenga sana hii issue nimeona hadi kwenye goal.com wamechapisha ujinga wake. Mwanzoni nilijua labda mtu kamzushia lakini naona ni kweli yeye ndio kasema hivyo.

Anyway, SSC mpaka anafika hatua hii sijasikia timu yoyote ikisema referees wanaibeba Simba. So,difficult to tell what the man is going through mpaka anakuwa na comment za kizembe hivi.
 
Banda chenga sana hii issue nimeona hadi kwenye goal.com wamechapisha ujinga wake.Mwanzoni nlijua labda mtu kamzushia lakini naona ni kweli yeye ndio kasema hivyo

Anyway,SSC mpaka anafika hatua hii sijasikia timu yoyote ikisema referees wanaibeba Simba.So,difficult to tell what the man is going through mpaka anakuwa na comment za kizembe hivi
Yaani hata Berkane hawajasema?
 
Wewe mbona umezijua wakati hujacheza hata umitashunita!?
Hayo malalamiko yafikishwe CAf haraka siyo yanajitokeza tu simba ikicheza na wasauzi maana hata mwaka jana Kaizer chiefs huyu jamaa aliongea maneno hayahaya.

Mwaka 1983 marefa wa Ethiopia waliireport Yanga na katibu wao Issa Makongoro kwa kutaka kuwahonga wawapendelee vs Gor mahia, Uto wakafungiwa na katibu wao hiyo ndiyo rekodi iliyopo ni vyema Abdi banda apeleke ushahidi CAf atake na hao wanasiasa wakubwa wnaoshirikiana na simba kununua marefa.
 
Wanamichezo, asalaam

Nimeshtushwa na Maoni ya Beki wa Mtibwa aliyepata kucheza Afrika Kusini na Simba Abdi Banda kuibagaza Simba na Serikali kipitia Vyombo vya Habari nje ya nchi

Tuna Diplomasia mpaka ya michezo, kitendo cha Banda kuropoka ovyo tukirejelea mechi ya Kaiser Chiefs akiwapa mbinu na uongo kede kede wageni ni Uhaini dhidi ya Sekta ya michezo na bado mtu huyo anacheza ligi inayosimamiwa na wadau anaowabagaza.

Kupitia @Kickoff, Banda mwenye kisasi na Simba anaihusisha serikali dhidi ya uongo wake akiitahadharisha Orlando Pirates anayodai yatawakuta Dar katika mechi ya kombe la Shirikisho hatua ya Robo Fainali

Ni imani yangu @NapeNnauye,TFF na BMT kutoa msimamo dhidi ya shutuma za mtanzania huyu asiye mzalendo,Bodi ya ligi na TFF imsimamishe kucheza hapa nchini, PCCB pia imualike atoe ushahidi wake juu ya shutuma dhidi ya Simba.

Mwisho idara ya Uhamiaji ichunguze uraia wake.
 
Wanamichezo,asalaam

Nimeshtushwa na Maoni ya Beki wa Mtibwa aliyepata kucheza Afrika kusini na Simba Abdi Banda kuibagaza Simba na Serikali kipitia Vyombo vya Habari nje ya nchi...
Vipi mzee mbona unateseka hivyo?
 
Upuuzi huu nani aliwadanganya 😀, et uzalendo. Tulie Hilo tobo lishatoboka na VAR ipo kwa mkapa. Hakuna janja janja Tena.
Ha ha utopolo leteni ushahidi na nyie si mlisema tunapuliza dawa yako wapi.. ni wajinga wakubwa nyie
 
Banda yuko sahihi
Inapoongelewa team ambayo imeiletea nchi point 28 kati ya 30.5 wewe mshabiki wa utopolo unakaa pembeni ni jambo la kiumeni hili.Pita pembeni kabisa mada hii haikuhusu kabisa kaongee kuhusu azam maana hata namungo katuheshimisha kama nchi kutupatia point 2.
 
Hii ndio inaua soka letu,sijawahi ona vilabu vya afrika ya kaskazini vikifanya hivyo,au mchezaji afanye hivyo,huo ni ushamba tu,hata senzo hawezi fanya hivyo,tunamsamehe
 
Back
Top Bottom