Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Kwa yeyote anaeweza kuwasiliana na sita ni vema akamshauri kuwatafuta wale woote wanaomkubali yeye kama sita ili wamuunge mkono mtu wa upinzani..hapo watatoka tu labda uchakachuzi uingie mpaka kwa wabunge wenyewe..mfano sita akipata watu 40 wanaomuunga mkono na chadema wakaunganisha na kafu basi ujue ccm hawatakua na chao labda njaa iwatenganishe..but ni bora wakakataa njaa ya siku moja wakashiba miaka.jamani hakuna asiejua 6 aliku mtu anaelifaa taifa hili lakini vita yake iko wazi ni kwamba ametolewa kwa chuki ya wadhambi..sasa mbunge unaelijua hili funguka akili kwa jina la yesu.
Nilishawahi kumsikia Bwana Sita akijitapa kuwa yeye ni Chuma Cha Pua. Alikuwa akihojiwa na kituo kimoja cha redio.
Sasa mafisadi wamemfanyizia.
Ninamuomba bwana Sita aoneshe uzalendo wake kwa Tanzania. Alichofanyiwa Sita na mafisadi ni usaliti mwingine kwa utawala wa mkwere kwa Watanzania. CCM na mafisadi wamedhihirisha tena ukweli kuwa wanadharau Watanzania kwani Watanzania kwa mamilioni walikuwa wanaomba kwa Mungu bwana Sita apewe nafasi nyingine ya kuliongoza bunge la nchi yetu. CCM (wasiozidi hata 100) wameweka watu wao. Watanzania wameachwa kwenye mataa. Wamedharauliwa. Kokoto (kauli ya Mkapa). Majuha (kauli ya Mkwere). Mabaamedi (kauli ya Makongolo Mahanga). Tumeachwa tukilia na kusaga meno.
Ninamuomba Sita ajitenge nao. Wabunge wote watiifu kwa Tanzania wajitenge na mafisadi. Wapige kura kuwakataa 'vibaraka wa mafisadi' waliopendekezwa kugombea nafasi adhimu ya Spika. Nchi hii haiwezi kubadilika bila watu 'wakubwa na wenye heshima' kama Sita kuthubutu.
Fanya hivyo Bwana Chuma Cha Pua. Sisi tutakuunga mkono.

what goes around comes around. Sam Six alimfanyizia Eddo pale Dom 2008, sasa ile ya Eddo imemgonga yeye. Mimi nilimwambia hasichukue fomu hakusikia kwani Mkwere alimtumia tu wakati ule na kujitapa kuwa kuna baraka zote kutoka Ikulu; sasa je na ili lina baraka zozote kutoka Ikulu au kwa Mwnyekiti wa CCM? Bado Anna Makinda naye ajiandae kudondokea pua!
Hana ubavu wa kufanya hayo unayotaka,sio msafi kiasi hicho watammaliza atakufa vibaya,nahisi atapewa uwaziri wa mboga2 after 2yrs reshafle anatupwa nje
Speaker 6 was the best since Independence 1961

Sikudhani kama hata jf ni mazuzu hivi.mmesahau 6 ndo alimfukuza zitto,kumwaibisha dr.wakati wa epa kwa kukejeli hoja yake,je si 6 aliyepinga sera ya elimu bure hadharani? Ni yeye aliyemaliza richmond kihuni.ni yeye alihalalisha wabunge kupata posho mbili,ni yeye alikingia kifua serikali ilipokataa kutekeleza maazimio ya bunge,ni yeye alifuja fedha kujenga hekalu kwao na samani za kufuru,mamilioni aliyopoteza kesi ya mengi na malima,upumbavu mtupu takataka.kama alivyosema msoma raia.acha aliowalinda wamwadhibu.hafai,wala makinda hafai hapa marando ndo anafaa kwa waliopo