Elections 2010 Kama Kweli 6 ni Chuma Cha Pua: Fanya Hili............................

Mazuzu???

Duh!

Any way............

Wewe unataka nani agombee uspika kupitia CCM??
Nimekwishakusema ccm hakuna mtu wa kuwa spika.labda kama mnasema kuwa kati ya vipofu yeye ana kengeza(the lesser evil?) na kama huyo ndo afadhali,wengine wakoje.kinyaa ni kule kumpamba kama mtu mwema.na je haiwezekani mpinzani kuwa spika? Kwa nn kufikiria makapi wakati cream ipo
 
Nilishawahi kumsikia Bwana Sita akijitapa kuwa yeye ni Chuma Cha Pua. Alikuwa akihojiwa na kituo kimoja cha redio.

Sasa mafisadi wamemfanyizia.

Ninamuomba bwana Sita aoneshe uzalendo wake kwa Tanzania. Alichofanyiwa Sita na mafisadi ni usaliti mwingine kwa utawala wa mkwere kwa Watanzania. CCM na mafisadi wamedhihirisha tena ukweli kuwa wanadharau Watanzania kwani Watanzania kwa mamilioni walikuwa wanaomba kwa Mungu bwana Sita apewe nafasi nyingine ya kuliongoza bunge la nchi yetu. CCM (wasiozidi hata 100) wameweka watu wao. Watanzania wameachwa kwenye mataa. Wamedharauliwa. Kokoto (kauli ya Mkapa). Majuha (kauli ya Mkwere). Mabaamedi (kauli ya Makongolo Mahanga). Tumeachwa tukilia na kusaga meno.

Ninamuomba Sita ajitenge nao. Wabunge wote watiifu kwa Tanzania wajitenge na mafisadi. Wapige kura kuwakataa 'vibaraka wa mafisadi' waliopendekezwa kugombea nafasi adhimu ya Spika. Nchi hii haiwezi kubadilika bila watu 'wakubwa na wenye heshima' kama Sita kuthubutu.

Fanya hivyo Bwana Chuma Cha Pua. Sisi tutakuunga mkono.

mmh, unaota wewe!
 
naona nyinyi amumtakii sitta mema kwani ccm wakipoteza kiti cha uspika basi sitta atanyimwa uraia wa nchi hii
 
Hayo majina yalilengwa kwa wanasiasa uchwara (kokoto) na wanasiasa wasio na adabu katika kampeni hususana wanaotoa lugha za matusi (majuha).
Neno la pili lilimlenga haswa Mgombea wa ubunge wa Chadema Temeke pamoja na wale waliokuwa wakimchochea na kumshabikia wakati akitoa matusi kwa Mhe JK.

JK hakuwaita watu wengine hivyo. Labda kama kuna watu wanaopenda kujiita hivyo kwa hiari yao.

Mgombea yeyote anawakilishwa watu. Ukimwita kokoto au juha maana yake hata watu wanaomfuasa ni makokoto au majuha.
 
Back
Top Bottom