CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,915
ANAPIGWA MTU SOON HAPA!!!Habari za Mwaka mpya? Bila shaka tunaendelea kupambana tu.
Nina Idea 1 hivi ila implementation yake inahitaji watu wawe mikoa kadhaa wa kadhaa ndo Idea inaweza fanya kazi.
Sasa basi kama uko mikoa tajwa hapa Chini basi unaweza nicheki then tukaona tunafanyaje.
Hao ninoa watafuta tutasaidiana nao kufanya kazi
1. Dar
2.Morogoro
3.Iringa
4.Mbeya
5.Mtwara
6.Dodoma
7.Tanga
8.Mwanza
9.Bukoba
10.Kigoma
11.Rukwa.
Kama kuna mkoa hujatajwa basi leewa kwa sasa haihitajiki. Ni mtu 1 kwa kila mkoa.
Angalizo.
Watu sirias make Wabongo wengi tunapenda tu matokea ila usiriasi hakuna.
1.Na ni Kazi ambayo itahitaji tu uwe na Office basi.
2. Baada ya hapo tutakutana kwa njia ya Whatsapp wote na Baadae my be physical Mungu akipenda.
Nicheki PM. Siriasi tu basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za Mwaka mpya? Bila shaka tunaendelea kupambana tu.

Unataka kusema jamaa ni Tapeli aliye kubuhuUmeamua kuja wazi wazi kujidhihiri kuwa wewe ni tapeli
Weka kila kitu ni mchongo gani huo madogo waupime na waushughulikie kama kweli unalipa na sio kuleta porojo ukawarubuni huko pm
mkuu huyu ni tapeli!Unataka kusema jamaa ni Tapeli aliye kubuhu
mkuu wewe ndo haupo serious! mbona unataka kuficha aina ya shughuri?
Sioni mkoa wa Arusha au Kilimanjaro hapo ! Hii maana yake akili mingi haihitajiki kwenye hiyo deal yako hapo au kuna wajinga umepanga kuwapiga. kila la kheri
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Yani wewe mwenyewe mkoa uliopo unaoishi umekosa MTU sirias awe rafiki, ndugu, classmate, hats jirani?
OK: tusubiri simu za kutapeliwa hapa