Now tunaye Juma Kaseja (JK)Ni kweli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu, mojawapo ikiwa ni ubinafsishaji mashirika ya umma katika njia isiyo faa ila alikuwa na uzalendo ndani yake.
J.P. Magufuli alifanya mengi kutusukuma mbele (licha ya mapungufu yake as usual) but the man behind him was B.W. Mkapa, when he was gone, everything disappeared.
B.W. Mkapa alijua namna ya kusukuma kete zake angalau kwa maslahi ya wananchi wote.
We need another BWM.... but there is no hope...
Kweli na sio mzee wa msoga...Ni kweli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu, mojawapo ikiwa ni ubinafsishaji mashirika ya umma katika njia isiyo faa ila alikuwa na uzalendo ndani yake.
J.P. Magufuli alifanya mengi kutusukuma mbele (licha ya mapungufu yake as usual) but the man behind him was B.W. Mkapa, when he was gone, everything disappeared.
B.W. Mkapa alijua namna ya kusukuma kete zake angalau kwa maslahi ya wananchi wote.
We need another BWM.... but there is no hope...
😄Now tunaye Juma Kaseja (JK)