Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

aviator ni balaa, naiskiaga tu sijawahi jaribu japo huwa nabet, na kubeti kwangu mwisho 1000 kwa week, yaani nasuka treni dar to kigoma likidondoka ndo biashara inakuwa imeishia hapo kwa week hiyo
Bora ubeti mara 1000 kuliko aviator.
 
111111111111.111111.png

Acha uoga kijana ona wenzako wanakula huku..
 
Back
Top Bottom