Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta.

Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
Yeah kufirisi watu Yeah 🤔
 
Stake high, acha tamaa!. 50k×2odds mara mizunguko mitano ambayo sio ya kufuatano ujapata pesa ya kula bata!. Mida ya kucheza aviator n 6-8usiku.
Aviator ndio kitu gani na mie nipate hela ya kushenyenta mbususu
 
Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta.

Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
Cheza tu mwamba ila pia uzilete hapa ngeu zinazotokana na aviator.
 
Stake high, acha tamaa!. 50k×2odds mara mizunguko mitano ambayo sio ya kufuatano ujapata pesa ya kula bata!. Mida ya kucheza aviator n 6-8usiku.
Jichanganye ustake high.

Itacheza kwenye 1.00, 1.06, 1.08, 1.45, 1.88, 1.00, 1.89, 1,00 na hapo kwenye account ulikuwa na 500k, Kwishaaaaaaaa😒😆😆.
 
Stake high, acha tamaa!. 50k×2odds mara mizunguko mitano ambayo sio ya kufuatano ujapata pesa ya kula bata!. Mida ya kucheza aviator n 6-8usiku.
Sasa wewe ni bora ukacheza aviator kuliko ilivyo hivi sasa.
 
Back
Top Bottom