Kama kuna Mpemba humu...!!Acheni Ubaguzi Shenzi Nyie

Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu

POLE SANA KWA MASAHIBU LAKINI UNAONEKANA UNA MATATIZO YA UELEWA .

1 BABA YAKE ANAINGIA VIPI HAPO KAMA NI KWELI HUONI UNGEKARIBISHA AIBU NYUMBANI KWENU ?

2 WATU WA BARA HASA WAGENI KUTOKA MIKOANI WANSHINDWA KUELEWA NI NANI MPEMBA WAO WANAELEWA MPEMBA NI KILA MZANZIBAR MPEMBA HALISI NI YULE ANAETOKA KISIWA CHA PEMBA NA SIO UNGUJA HII IMEKUA NI TABIA ENDELEVU KUWENI WAELEWA .

3 KWENYE SUALA LA DINI NI MOJA YA CHANGA MOTO KUBWA HASA IKIWA MUME SIO MUISLAM MBONA KUNA WATU WENGI TU KUTOKA BARA WAMEOWA NA KUOLEWA ?

4 KAWAIDA YA WAISLAM KATIKA SUALA LA NDOA UNATAKIWA UJIKITE KWENYE MAMBO MATATU KAMA SIO ZAIDI . 1 DINI YAKO 2 FAMILIA YAKO 3 UZURI WAKO SASA HIVI VIGEZO VIPO VIPI KWA UPANDE WAKO ?

SUALA LA UBAGUZI KILA PAHALA LIPO ILA UKILAZIMISHA MAMBO UNAWEZA JIKUTA UNAINGIA UTUMWANI BILA KUJUA KWA KUANGALIA KIPATO CHAKO.
 
Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu
Na wewe kuwa shoga hakika hiyo familia haitakusema tena mkuu
 
udini kwenye kuoana ni suala la pande zote mbili,huwezi kukirupuka maana hapo mnaanzisha family na inahitaji makubaliano nani afuate dini ya mwrnzake au kama kila mtu afate dini yake,je watoto watafuata dini gani,maana hii ishu mkisha oana na kukinaiana matatizo ndo hianzia hapo,
anyway hii habari ni ya kutunga lengo lake mleta mada ni kuwaponda wapemba na imani yao
 
Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu
Chukua huu ushauri wa kibabe kutoka kwangu: Kama binti umemuelewa na umeona anafaa kwa matumizi ya Binadamu we piga mimba tu na mtoto akizaliwa mpe jina linaloendana na imani yako. Wakiendelea kukaza mtoto akikua akifika miaka kadhaa tia tena mimba nyingine.
Ukifanya hvy wenyewe watakutafuta na utakuwa umekata mzizi wa fitina maana huo mkorogo utakuwa umeshawavuruga na wataomba ufanye mchakato wa huyo binti kuhamia kwako.
Iliwahi kunitokea kwa binti mmoja wa imani hiyo na binti alikuwa ashakubali kupiga ishara ya msalaba ila mzee wake akakaza nikatumia hiyo njia sasa hv hakuna kelele tena.
 
Hasira tu ndugu
Hahaha. ..kumbe haufai kuwa mpenzi wa mtu maana ukiachana nae waweza Kuja kuanika madhaifu yake yote na ndugu zake humu au huko mtaani

Duuh ila kweli watu huwa mnakutana na vituko how come unataka kuoa mwanamke Ambaye baba yake ni shoga?

Je hauogopi kuwa ukija kupata kizazi chako na kupata watoto wa kiume mmoja ange weza kufuata kipaji hicho cha baba yako mkwe ?

Yaani kwa hicho ulichokiongea kuhusu baba yako mkwe if is it true basi ulipaswa kushukuru Hao ndugu zake walivyo msema hadi mkaamua kuachana maana ungeweza kumuoa na hatimae Kuja kuzaa kizazi Chenye watoto mashoga
 
UMESEMA TATIZO DINI AU TATIZO UPEMBA MAANA ISHU YA DINI NI KOTE HATA MIMI NIILITAKA KUMUOA MTOTO WA KICHAGA WA MACHAME TATIZO LILIKUA KWENYE DINI NADHANI UNAJUA WACHAGA WAKIWA WAISLAM WANAVYOKUWA HAWATAKI UTANI
Wachaga Wa Machame Unawajua Vizuri Au Unawasikia tuuu,, Utapata Tabu Sanaaa.
 
Hebu jiulize hapo ni nani mbaguzi kati yao na wewe? Unawatukana na kuwadhalilisha 'wakwe zako watarajiwa' wakati unamtaka binti yao!? Ni bora wamewahi kumkanya binti yao kutojihusisaha nawe, kumbe wako sahihi maana wewe hufai kabisa. Kama kweli ulimpenda binti yao hii ilikuwa fursa nzuri kwako kujenga hoja kuwathibitishia 'wakwe' zako kwamba wewe ni mtu sahihi kwao na kwa binti yao na dini au ukanda si hoja - lakini umeshindwa na umebaki kulalama.
 
Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu
Katika watu wajinga na wapumbavu mmoja wapo ni wewe. Suala la kuwa baba yake ni anainamishwa mtaa mzima wewe imekuhusu na nini.? Au na wewe ushamla na ndio mana unatoa aibu zake. Hawataki kukupa mtoto wao na hawataki uwe na mahusiano nae achana nae. Usilazimisha baba utaumia achana nao hao watu ni hatari kwako utaumia bure. Nakushauri kata mawasiliano nae yasije yakukuta makubwa. Watakuja kukuweka ndani hata hamu yakutoka njee usiwe nayo.
 
Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu
Labda walitaka binti yao aolewe, asiwe na "mazoea" tu na mwanamme bila ndoa?
 
Nilipofika kwenye maandishi .....7b ukimaanisha sababu basi nikaacha kuendelea kusoma nikijua napoteza muda. Uandishi wako ni picha tosha ya taswira ya ulivo mkuu.
 
Watu wa visiwani ni wabaguzi sana na wana udini sana. Mfano ni kipindi cha ramadhan wanavotokwa na mishipa shingo kushupalia wengne wafunge kwa lazima utadhani mbingu wanaimiliki wao.
Ikiwa mnabaguana wenyewe kwa wenyewe ni nani atakae kuaminini
 
U
Umesema wamekubagua kwa sababu ya dini lakini hapo hapo unataja muungano, sasa kuna uhusiano gani hapo?

Walichokifanya hao ni sahihi maana mambo ya dini yanasumbua sana kwenye mahusiano.
Duh tuendelee kubaguana kwa dini et mimi naona haijakaa sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom