Kama kuna mfanyakazi wa HESLB anifanyie connection rufaa yangu ifanikiwe nitamshukuru sana

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Kama kuna mfanyakazi wa HESLB anifanyie connection rufaa yangu ifanikiwe nitamshukuru sana

Nipo chini ya miguu yenu naombeni kama kuna mtu anafanya kazi bodi ya mikopo au ana connection ambayo niki-appeal ili niongezewe kiwango cha mkopo nipate 100 au 90 nitamshukuru sana

Nina kiwango kidogo mno nina 40% tu na hapo ada inabidi nijilipie mwenyewe kodi kula na kuvaa na nipo mwaka wa mwisho huu

Hapo kichwa kinawaka moto natoa wapi ada nimesoma kwa shida mno

Kama kuna member humu ni mfanyakazi wa bodi ya mikopo anayeweza nifanyia connection nikaongezewa mkopo nikapanda ningemshukuru sana nia yangu nimalize tu huu mwaka ulobaki nikiwaza ada nachanganyikiwa

Naombeni naombeni
 
Kuna mtu ni mfanyakazi wa heslb alinambia atanisaidia kuappel ishu ya bodi nipate mkopo kwa 100% akanambia kunisaidia nimpe elfu 30

Kweli nilimpa lakini kilichotokea hakunisaidia chochote alichukua hela hakuhangaika chochote kile

Nimeteseka sana, leo nimeingia mwaka wa 3 ada, kodi vinaniumiza kichwa, nina asilimia 40 tu ya mkopo

MwanaJf yoyote yule anayeweza nisaidia rufaa yangu ya bodi ikafanikiwa nikapata hata 100 ili tu nimalize mwaka na mm kwa kuweza kumudu kulipiwa ada na bodi ningemshukuru sana

Najua humu watu wa heslb mpo pls nisaidieni mwenye connection
 
Msaada: Mwenye connection na mtu wa helsb anisaidie rufaa yangu ipite jamani

Naombeni tu mtu mwenye connection na mtu wa system ya bodi au mfanyakazi wa bodi ya mikopo anayeweza kunisaidia nipate mkopo na mm kwa asilimia 100% ningemshukuru sana

Nateseka sana hapa ada inanisubiri, kodi kila kitu nina only 40% na sina support yoyote nimeliwa hela mno watu wakisema watanisaidia lakini wapi nisaidieni ndugu zangu na mm niongezewe niwe na hiyo 100 au hata 90 niweze kumalizia chuo sahv sina amani kbs ada nk sijui natoa wapi

Pls help me,
 
Msaada wa connection mtu wa bodi ili rufaa yangu ikubaliwe pls

Kama kuna mfanyakazi wa HESLB anifanyie connection rufaa yangu ifanikiwe nitamshukuru sana

Nipo chini ya miguu yenu naombeni kama kuna mtu anafanya kazi bodi ya mikopo au ana connection ambayo niki-appeal ili niongezewe kiwango cha mkopo nipate 100 au 90 nitamshukuru sana

Nina kiwango kidogo mno nina 40% tu na hapo ada inabidi nijilipie mwenyewe kodi kula na kuvaa na nipo mwaka wa mwisho huu

Hapo kichwa kinawaka moto natoa wapi ada nimesoma kwa shida mno

Kama kuna member humu ni mfanyakazi wa bodi ya mikopo anayeweza nifanyia connection nikaongezewa mkopo nikapanda ningemshukuru sana nia yangu nimalize tu huu mwaka ulobaki nikiwaza ada nachanganyikiwa

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu ni mfanyakazi wa heslb alinambia atanisaidia kuappel ishu ya bodi nipate mkopo kwa 100% akanambia kunisaidia nimpe elfu 30

Kweli nilimpa lakini kilichotokea hakunisaidia chochote alichukua hela hakuhangaika chochote kile

Nimeteseka sana, leo nimeingia mwaka wa 3 ada, kodi vinaniumiza kichwa, nina asilimia 40 tu ya mkopo

MwanaJf yoyote yule anayeweza nisaidia rufaa yangu ya bodi ikafanikiwa nikapata hata 100 ili tu nimalize mwaka na mm kwa kuweza kumudu kulipiwa ada na bodi ningemshukuru sana

Najua humu watu wa heslb mpo pls nisaidieni mwenye connection

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Bora uendelee tu na hiyo 40%
Faida yake utaiona baadaye
 
Umekosea kusema utampa kiasi Fulani mkuu, unatengeneza mianya ya rushwa.
Kwanini usimpigie direct mama ndalichako??
 
Back
Top Bottom