Una point, but Ndiyo maana nimesema kwa ugonjwa kama corona, highly infectious and deadly!Mbona wasiovaa kondomu hawafanyi kosa la jinai na wengine huwaambukiza wenzao magonjwa?
Waiolala ndani ya vyandarau je?
Dah, Mkuu ngoja machungu ya kufungwa yaishe Kwanza.
Depotivo de Utopolo aka Yanga amefungwa 🤣nani kafungwa
ngwa
Perfect, but the general principle of vaccines still holds perfectly! we need to avoid mass deathsUnawezachoma hiyo vaccine na bado ukafa kwa covid pia unaweza usichome vaccine na ukasavive hizi vaccine zinazoingia ni za wimbi la kwanza na La pili wapo waliochoma na wamekufa nimeona
Depotivo de Utopolo aka Yanga amefungwa 🤣
Kadonolewa kamoja tu kwenye fainali, ndio kanauma zaidihongera... ngapi? au amedonolewa
Governments and/or institutional policy-makers should use arguments to encourage voluntary vaccination against COVID-19 before contemplating mandatory vaccination.Perfect, but the general principle of vaccines still holds perfectly! we need to avoid mass deaths
And I do not condone compulsory vaccination. Kumlazimisha mtu hapana......Tuwaelimishe watu wachanje kwa hiari zao.Governments and/or institutional policy-makers should use arguments to encourage voluntary vaccination against COVID-19 before contemplating mandatory vaccination.
Efforts should be made to demonstrate the benefit and safety of vaccines for the greatest possible acceptance of vaccination.
Probelm ni what to do to those who are running campaigns to discourage people from getting vaccinated....Ikumbukwe serikali inaingia gharama kubwa kuleta hizo chanjo na kuzifanya ziwe bure, kama watu hawatachanjwa zita expire na kutupwa.... inajulikana kabisa currently acceptance ya CoVID vaccines nchini kwetu ipo chini sana...halafu anakuja mtu kama Gwajima anaendelea kusambaza kampeni yake kwamba chanjo ni hatari..serikali ifanye nini ?And I do not condone compulsory vaccination. Kumlazimisha mtu hapana......Tuwaelimishe watu wachanje kwa hiari zao.
Kama ni infectious and deadly kwanini wewe unaehisi upo hatarini usiende kuchanjwa ili uwe salama?Una point, but Ndiyo maana nimesema kwa ugonjwa kama corona, highly infectious and deadly!
Ianzie machame hiyo chanjo..koona imeweka kambi huko. Wadungwe dozi sita sita kabisaSimple logic inaniongoza hivi:
1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained.
2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated
3. And to attain mass vaccination compulsory regime must be imposed/in place
The irresistible conclusion is that avoiding being vaccinated is infecting others and this is tantamount to killing others
THIS IS WHAT MBOWE WAS TRYING TO PUT FORWARD, FOR THE SAFETY OF EVERYONE OF US
ANGALIZO: Kama huna ABCD of vaccinology jipitie salama bila matusi
Umempa kitu kikubwa mno ki logic hawezi chomoka humuMbona wasiovaa kondomu hawafanyi kosa la jinai na wengine huwaambukiza wenzao magonjwa?
Wasiolala ndani ya vyandarau je?
Naomba definition ya ‘Vaccine’Perfect, but the general principle of vaccines still holds perfectly! we need to avoid mass deaths
Naam.Governments and/or institutional policy-makers should use arguments to encourage voluntary vaccination against COVID-19 before contemplating mandatory vaccination.
Efforts should be made to demonstrate the benefit and safety of vaccines for the greatest possible acceptance of vaccination.