Kama kitalolo ningekuwa star

Kama kitalolo ningekuwa star

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
Na kama ningekuwa na mkwanja kachaa
ningekuhonga hii kitu hata usipokea simu yangu powa tu kwani nkyokii?


slideshowveneno.jpg

Lamborghini-Veneno-internet.jpg

laferraricombo-copy.jpg

ferraritoplaferrari.jpg

6595464b-dbb9-4fb9-a241-61568fe1019e__FL_5276.JPG

6595464b-dbb9-4fb9-a241-61568fe1019e__FL_5276.JPG

29be19a4-a76d-47eb-bee1-75180ca96f3a_Volante_16037_0202.jpg
 
Signature yako imeshindwa kukupatia mkwanja?

ninao wa kutosha mkuu ndio maana nafikiria kununua gari kama hii kwaajili ya kuhongo na akikataa naipakia kwenye gari nyingine nakuwa natembea nayo ili barabara zenu zisiniharibie gari yangu
 
kwani leo umekuwaje.....?

imagine kuna wale wanawahonga mademu magari na nyumba lakini wakiwapigia simu unakuta yuko na jamaa mwingine anamdrive kwa gari yako au wako kwa ile nyumba uliyohonga halafu akiona simu yako anacheka na kumuuliza jamaa nipoke jamaa anamwambia achana nayo. fikiria bei ya hiyo gari halafu unainunua na kumuhonga mtu ili walau ujisikie furaha inajeuka kuwa karaha si ni bora hiyo pesa hata ungejengea shule.

Mimi nimezipenda hizi gari tu na wazo la kuwa kuna watu wananweza kuzinunu na kuwahonga maduuu likanijia na nikakumbuka jamaa angu mmoja aliteswa sana na hii kitu
 
With exception to masaki, o-bay, the rest of Bongo roads ni maumivu na Spea zake sijui kama hata wauzaji wanafikiria ku-import.
 
Back
Top Bottom