Kama Kauli zina Umba Kosa ni Mara Ngapi WA CCM wanafanya Hivyo lakini hatuoni Mashtaka

Kama Kauli zina Umba Kosa ni Mara Ngapi WA CCM wanafanya Hivyo lakini hatuoni Mashtaka

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,523
Reaction score
6,462
Kume kuwa na kauli mbali mbali zanazotolewa na wana siasa hususan wa chichiemu ambazo zina chochea uvunjifu wa Amani na ni kinyume cha sheria, lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi. Yao, lakini ikiwa kauli inayo karibia na hiyo na haipo kinyume cha sheria, lakini nguvu za dola, magazeti yatatumika kubadili ukweli huo na kuufanya ni jinai. Kwa Mwendo huu tutafika
 
20250126_124953.jpg
20250223_162944.jpg
20250822_105309.jpg
FB_IMG_1732381054839.jpg
Screenshot_20250411_035715_TikTok.jpg
 
Hata mufti w Tanzania aliwahi kusema bila kufafanua kwamba kusema utakinukiaha ni lutaka kuvuruga amani?
Mufti huyu aliahirisha ibada ya ijumaa siku ya ijumaa baada ya uchaguzi mkuu 2025
 
Back
Top Bottom