Mfalme Zumaridi yeye mbona ameenda mbinguni kabisa?Nini kutokewa na Mama Maria bana, kuna manabii hapa Tanzania wanazungumza na Yesu mwenyewe, hususan Nabii Mkuu wa Arusha, Kuhani Musa na yule wa Efatha🙄
Kwani kuna mtu amekuzuia kuamini unavyoamini?Mimi ni mkatoliki ila hili tukio la bikira maria kuwatokea watoto wa fatima kule ureno linafikirisha sana.
Kwanza mkuu wa kanisa katoliki yani papa ni Rais wa Vatican pia kama nchi kamili yenye kiti UN. Sasa tukio la kule ureno mwaka 1919 la bikira maria kuwatokea Lucia, Francis na Yasinta sio tukio la mchongo? Kwa maslahi mapana ya kanisa katoliki duniani?
Natambua tukio hili lilitokea Portugal na sio Vatican. Pia natambua mkataba wa Mussolini kuitambua Vatican kama nchi pale Roma Italy. Ila pia tutambue serikali zote duniani zina haya matukio ya kupangwa (staged). La fatima nahisi lilipangwa!
Wapi ktk biblia imeandikwa kuwa Bikira Maria alipaa mbinguni?Kwanza ni nani kati yao hao waliotokewa na bikira Maria aliwahi kumuona bikira Maria na siku hiyo alipowatokea akajiridhisha kwamba huyo ni bikira Maria.
Kwanza ni nani kati yao hao waliotokewa na bikira Maria aliwahi kumuona bikira Maria na siku hiyo alipowatokea akajiridhisha kwamba huyo ni bikira Maria.
Na brian deconMtu yeyote Leo akitokewa live na Brian Decon atakuja kusema katokewa na nani??
Haiwezekani watuletee story za kutunga zisizo kuwa na kichwa wala miguu hapa.Dah we jamaa umeuliza knock out questions