Kama ka mchezo ndo haka!

Kama ka mchezo ndo haka!

luckyperc

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
495
Reaction score
46
Nilichosikia mtu hautaruhusiwa kupiga kura kwa uchaguzi wa 2015 mpaka uwe na kitambulisho cha uraia (ID)!

Kwahili inanikumbusha jinsi watu walivyoshindwa kupiga kura kuanzia 2000's

Daftari lilipoanzishwa uelewa ulikuwa mdogo!

Uboreshaji wake ulikuwa matatizo!

Kuhamisha taarifa mahali ulipojiandikisha mwanzo!

Vyuo kufungwa!

Majina kutoonekana kwenye orodha!

................................
source:mdau wa NIDA
 
Lazima mchakato huu ufuatiliwe kwa makini na elimu kutolewa vema kwa raia, isije kuwa janja ya nyani mzee CCM......
 
Lazima mchakato huu ufuatiliwe kwa makini na elimu kutolewa vema kwa raia, isije kuwa janja ya nyani mzee CCM......

mkuu huu mchakato utafanana na ile mikakati ya ccm kuingia ikulu.
 
wazo zuri chonde chonde raia tu wakabidhiwe hizo ID
Nilichosikia mtu hautaruhusiwa kupiga kura kwa uchaguzi wa 2015 mpaka uwe na kitambulisho cha uraia (ID)!

Kwahili inanikumbusha jinsi watu walivyoshindwa kupiga kura kuanzia 2000's

Daftari lilipoanzishwa uelewa ulikuwa mdogo!
Uboreshaji wake ulikuwa matatizo!
Kuhamisha taarifa mahali ulipojiandikisha mwanzo!
Vyuo kufungwa!
Majina kutoonekana kwenye orodha!
................................
source:mdau wa NIDA
 
3.jpg

4.jpg
 
Back
Top Bottom