Kama jina lako ni Mary, marufuku kuwa kahaba...!

Hahahahahahahahaha
daaaa nimecheka sana hasa mstari wa mwisho!
hongera kwa kucheka at least umeongeza maisha.
Yuda wao huwa ni wafayabiashara hadi za haramu utawakuta, Naomi wao huwa ni wazuri sana na huwez kumkuta Naomi ambaye ni looser na hata akiachwa huolewa tena.

so majina yana potray mtu jinsi alivyo kiukweli.
 
Aisee kweli nimeongeza siku maana kila nikikumbuka hilo jina la baraba namkumbuka baraba wa kwenye filamu moja ya dini mbavu sina.
Aiseee kuna ukweli!
hongera kwa kucheka at least umeongeza maisha.
Yuda wao huwa ni wafayabiashara hadi za haramu utawakuta, Naomi wao huwa ni wazuri sana na huwez kumkuta Naomi ambaye ni looser na hata akiachwa huolewa tena.

so majina yana potray mtu jinsi alivyo kiukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom