Kama huyu ndio mkeo utachukua hatua gani?

Kama huyu ndio mkeo utachukua hatua gani?

Ifike wakati tuheshimu ndoa hii ni too much,hakuna namna ukishikwa ni talaka haraka haraka siku za mwizi ni 40
 
Hio ni hatari kwa maisha ya ndoa.Kama mtu ana mke na anaamkaga saa kumi alfajiri inabidi awahi kurudi home awe na mkewe na siku za off atulie na mkewe,,kugongewa atasikia pembeni tu,,,la sivyo ana hatari sana.
Kwa Dar ndoa za hivi ziko nyingi sana. Unakuta mke amempata mtu wa kutuliza ukichaa wake wa kimapenzi mahala anapohangaika mchana kutwa na mume naye ana mtu kibaruani kwake. Wanandoa hawajawahi kuonana kwa sura mchana. Ni Usiku tu.
 
Back
Top Bottom