Kama huwezi utani usifungue hapa.

Status
Not open for further replies.
twende si umeanza- mimacho imekutoka kama NIMECHINJA JOGOO WAKO WA SHUGHULI? MIGUU YAKO KAMA UNAKUJA HUKU? SURA YAKO KAMA ---- LINAOGOPA SINDANO
 
Nokia wee!
Check muonekano wa sura lako ka furushi la mav*
ona uso una mabakabaka kama batiki!!!
 
Umenianza! Kichwa kama dodoki la kuogea!...muone kidevu kama kona ya godoro la comfy...lione domo kubwa chapati hukunji!!
 
Twende mbona mko kimya mmenicharua wenyewe?mgongo ulivyokupinda utadhani fundi viatu....mashavu yametuna utadhani paka mwenye mawazo.
 
Hahahaaa twende sasa... Mimeno imekujaa mdomoni kama brush ya viatu

iiilooooo, lione kwanza unasura mbaya mpaka ukiangalia kioo kinavunjika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom