Panya Road kuna wanawake pia ndani, Nimewashuhudia

Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
639
1,902
Members muda huu usiku wa 3:44 tarehe 03/05/2022 nimeshuhudia kwa macho vijana wadogo wanawake na wanaume wakiwa na malungu, Fimbo na huku wakicheka kwa kujiamini kabisa pembezoni mwa nyumba yangu maeneo ya BOKO

Ni eneo kuanzia Basihaya mpaka chama, Ninaishi eneo la katikati ya maeneo hayo

Nilisikia kundi la sauti za watu nikashutuka usingizini nione ni akina nani, Nikaamua kupandisha pazia kidogo na kuchungulia dirishani kwangu kwa kupanda juu ya kitanda nilichoona ni watoto wadogo hata miili hawana kabisa

Walisimama kama wanaangalia angalia ghafla wakaendelea na safari yao ni kundi kama la watu 15 hivi

Na hapa mtaani tuna Sungu Sungu tangu zamani lakini sijawahi ona Sungu Sungu ya watoto wa kike tena wadogo wadogo na wakiume usiku huu wa manane

Watoto wa Kike wamejichanganya na wanaume wakiwa na malungu

Tuanze operesheni ya kudeal na hawa watoto wanaokaa vijiweni wakati wa shule,

Kuna ongezeko kubwa sana la vijana maeneo hayo ya Basihaya mpaka chama sijui wametoka wapi, Ni vijana wadogo wadogo unawakuta vijiweni jioni Unapotoka kwenye mihangaiko
 
Nitakutafuta nikupe simu ya kitochi ili ukiwaona tena uwapigie simu polisi waje kuwakamata, wewe uliona nafuu wamekuacha wamekwenda kushambulia kwingine.
 
Panya road ni matokeo ya malezi mabovu ya wazazi kwa watoto Ndio mzigo unakuja kubebeshwa Jamii yote na taifa .
Kuna ule usemi asiyefunzwa na ***** atafunzwa na ulimwengu .
Nikuwapiga kwa silaha kali iwe mfano kwa wengine wenye mawazo hayo
 
Mkuu ndugu yangu,

Leo jioni tukutane hapo Jembe ni Jembe tupige gambe wakati tunajadili namna ya kuwaangamiza hawa mabaradhuli
 
Panya road ni matokeo ya malezi mabovu ya wazazi kwa watoto Ndio mzigo unakuja kubebeshwa Jamii yote na taifa .
Kuna ule usemi asiyefunzwa na ***** atafunzwa na ulimwengu .
Nikuwapiga kwa silaha kali iwe mfano kwa wengine wenye mawazo hayo
Hapo ndipo napomkumbuka IGP Mahita. Alikuwa hana muda wa kuwapeleka watu kama hao mahakamani. Alikuwa anawapeleka ahera...
 
Members muda huu usiku wa 3:44 tarehe 03/05/2022 nimeshuhudia kwa macho vijana wadogo wanawake na wanaume wakiwa na malungu, Fimbo na huku wakicheka kwa kujiamini kabisa pembezoni mwa nyumba yangu maeneo ya BOKO

Ni eneo kuanzia Basihaya mpaka chama, Ninaishi eneo la katikati ya maeneo hayo

Nilisikia kundi la sauti za watu nikashutuka usingizini nione ni akina nani, Nikaamua kupandisha pazia kidogo na kuchungulia dirishani kwangu kwa kupanda juu ya kitanda nilichoona ni watoto wadogo hata miili hawana kabisa

Walisimama kama wanaangalia angalia ghafla wakaendelea na safari yao ni kundi kama la watu 15 hivi

Na hapa mtaani tuna Sungu Sungu tangu zamani lakini sijawahi ona Sungu Sungu ya watoto wa kike tena wadogo wadogo na wakiume usiku huu wa manane

Watoto wa Kike wamejichanganya na wanaume wakiwa na malungu

Tuanze operesheni ya kudeal na hawa watoto wanaokaa vijiweni wakati wa shule,

Kuna ongezeko kubwa sana la vijana maeneo hayo ya Basihaya mpaka chama sijui wametoka wapi, Ni vijana wadogo wadogo unawakuta vijiweni jioni Unapotoka kwenye mihangaiko
Polisi wa ziro na intelijensia yao panya rodi wanatamba tu mitaani.
 
Wanawake ni wengi kuliko wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nakuona vile ulivyokuwa unawachungulia🐒

Top-10-Cats-Peeking-Through-Blinds-8.jpg
 
Nitakutafuta nikupe simu ya kitochi ili ukiwaona tena uwapigie simu polisi waje kuwakamata, wewe uliona nafuu wamekuacha wamekwenda kushambulia kwingine.
Na hapo ndipo watu wa Dar wanafeli kabisa kudeal na hao panya sabab mtu kawaona na ameacha hamna juhudi zozote alizochukua sababu tu wanapita kwake wanaenda mbele yan kiujumla wanalalamika sana hawana Ushirikiano hata kidogo.
Naamini hao panya wangekua mkoani alafu mtu awaone wanapita kama ivyo tayari ungesikia washaua kama 8 hivi hapo. Maana mikoani watu wana Ushirikiano sana ukiita tu mwizi wadau wamejaa tayari.
 
Angeamka na jirani ake Wanatosha kabisa
 
Back
Top Bottom