Kama huwezi kuchat basi tuachane

Kama huwezi kuchat basi tuachane

popoma

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
2,378
Reaction score
3,362
Wadau poleni na mahangaiko ya siku,

Nakwenda kwenye mada husika,

Nipo kwenye uhusiano na binti fulani umri ni miaka 22. Mpenzi wangu huyu anapenda sana kuchat mimi muda wa kuchat huwa nakosa na anajua shughuli zangu kuwa nakosa muda wa full time kuchat.

Hali hii anadai inamnyima uhuru wa kufurahia uhusiano wetu. Amenambia kuwa bora tuachane sababu siwezi kuchat full time.Bila hiyana imebidi nikubali tu sababu yeye kupendwa kwake ni kuchat.

Nawasilisha wapendwa
 
Kama umeshafunua papuchi mkubalie muachane,
 
Ndio ungejarbu kutafuta njia ingine ambayo yy itamfurahisha ,unajua kwa hali ya sasa mwanamke anapenda simu ila mkuu badili gia.
Kwa upande wng nilijitahid kutimiza najukumu yng na hata nilipopata gape nilikuwa nikimtext sana
 
Back
Top Bottom