Kama hutoki familia ya mwanasiasa au matajiri wa nchi hii fanya mambo mengine

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,226
Reaction score
3,173
Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa.

Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa Mama Salma au Riz hawana wapinzani kwenye majimbo yao. Mimi ni mwanaCCM ila kwa mwelekeo huu ninakubali nitaendelea kuwa mkereketwa ila uongozi ni ngumu sana kutoboa. Kwa bahati sijawahi kugombea chochote. Nina amani kuwa mwanachama tu.

Kina Lucas Mwashambwa chiembe MamaSamia2025 Pascal Mayalla johnthebaptist Magonjwa Mtambuka ChoiceVariable na wanaCCM wengine zingatieni huu uzi mjikinge na magonjwa kama presha.
 
Wanaelewa sasa hao watu! Wenyewe wanaamini kufanyiwa hisani na wao wakumbukwe kwenye vijiteuzi wapate chochote kitu! Hawataki kupigania hatima yao kwa jenga misingi ya kihalali na kutokana na uwezo binafsi katika uwajibikaji wao,ila wanaishia kutafuta hisani kwa kusifia na kubariki uovu wa samia, na kikwete! Tuwaache na wanachokiamini wakiona kuna haja ya kusapoti mabadiliko ya kweli yenye usawa kwa watanzania watajiunga kwenye msafara!
 
Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa. Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa Mama Salma au Riz hawana wapinzani kwenye majimbo yao. Mimi ni mwanaCCM ila kwa mwelekeo huu ninakubali nitaendelea kuwa mkereketwa ila uongozi ni ngumu sana kutoboa. Kwa bahati sijawahi kugombea chochote. Nina amani kuwa mwanachama tu.

Kina Lucas Mwashambwa chiembe MamaSamia2025 Pascal Mayalla johnthebaptist Magonjwa Mtambuka ChoiceVariable na wanaCCM wengine zingatieni huu uzi mjikinge na magonjwa kama presha.
Ushauri wako umezingatiwa ingawa sina presha😂
 
Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa.

Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa Mama Salma au Riz hawana wapinzani kwenye majimbo yao. Mimi ni mwanaCCM ila kwa mwelekeo huu ninakubali nitaendelea kuwa mkereketwa ila uongozi ni ngumu sana kutoboa. Kwa bahati sijawahi kugombea chochote. Nina amani kuwa mwanachama tu.

Kina Lucas Mwashambwa chiembe MamaSamia2025 Pascal Mayalla johnthebaptist Magonjwa Mtambuka ChoiceVariable na wanaCCM wengine zingatieni huu uzi mjikinge na magonjwa kama presha.
Force uingie huko mkabanane humo humo,

Ova
 
Kama wana sifa na vigezo acha wateuliwe
 
Watu wanafikiri kuitetea CCM kwenye mabaya au Rais akiwa anafanya vibaya kunaweza kuwaondolea wao Umaskini haiwezekani wao acha wasifie
 
Back
Top Bottom