Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,192
Mi nikiota moto lazima nisinzie, joto linaleta usingizi jamani.
Upo sahihi mkuu na hii mada ineshafungwa!
Hakuna kitu kibaya kama stress! Huwezi kupata usingizi wakati una vitu kibao unawaza
Hii comment yako nilitarajia kuikutaKama npo alone,napgaga nyeto tamu refu ndani ya shuka kama dk 40 hv,baada ya kushusha mzigo hujihis mchovu sana na hupitiwa na usingiz mzito.
Nyeto kwa emergency haina madhara
Unless hujui sayansi ya pombe ilivyo. Kilevi, sigara na inputs zote zenye caffeine (C8H10N4O2) such as kahawa, tea, cocoa zinavuruga usingizi ile mbaya. Hizi ni alkaloid stimulants.Tumia kilevi chochote utapata usingizi tena mzito.
Ndiyo maana kumbe wewe ni babukijana umezeeka kabla ya muda wakonikigonga vyupa kadhaa tu au viglas baas NAONGEZA UGORO HIYO HATA KESHO TUNAWEZA TUSIONANE KM HUJATUMA MTU ANIAMSHE
Otherwise tizi na uchovu wa dozi tu nazimika,ila kuna siku naamsha popo masaa tu,5,6,7,8,9,10,11,12 siku ya pili ndio naskia kulala na nikiangusha hapo hiyo kesho tena,
mzigoni hawaelewagi