Kama hutaki majukumu tumia condom

Kama hutaki majukumu tumia condom

Mwanaume huwezi kukimbia majukumu.
Ni aibu Sana.
Hawa wadada tuwaoe tu wawe wake wenza.
Wanaume wamekuwa Kama bidhaa adimu.

Wanawake wakubaliane tu, hakuna namna kila mwanamke akawa na mume wake peke yake.
Lazima wengine washee dushe moja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utekelezaji wake sasa.
Inawezekana sana Kiongozi.

Wala hakuna ugumu wowote.

Mbona wewe mwenyewe umekuzwa mpaka umekua, huoni hiyo ni NEEMA kubwa sana.

Kama WAZAZI wako wangeogopa MAJUKUMU unafikiri ingekuwaje?

Inapotokea inabidi ukubaliane na Hali, na utakapokubaliana na Hali utazoea tu Kiongozi.

Ndivyo MAISHA yalivyo.

Usiogope MAJUKUMU, na wala usiogope CHANGAMOTO.

MAJUKUMU yanapoongezeka, na wewe mwenyewe GAZABU na SPIDI inaongezeka.

Hakuna Ugumu wowote, niamini
 
Back
Top Bottom