Kama huna nidhamu ya fedha kamwe usifanye hii biashara

Kama huna nidhamu ya fedha kamwe usifanye hii biashara

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,295
Reaction score
39,977
Angalia picha hapo. Sina haja ya kuelezea zaidi. Cha muhimu KAMA HUNA NIDHAMU YA PESA KAMWE USITHUBUTU KUFANYA HIYO BIASHARA.

shop.jpeg
 
Yaa
biashara ya grocery inahitaji mtu mwenye discipline ya fedha sana kwa sababu faida zake ni ndogo mno tofauti na biashara nyingine unakuta mtu anakula faida pasu kwa pasu .
Yaani ule msosi wa elfu tano anaoukula Dada anayeuza na bodaboda aliyopanda kwenda na kurudi jumla elfu 8.

Mauzo aliyouza faida yake elfu tano. Ushakula hasara.
 
Biashara Gani haihitaji nidhamu ya pesa
Biashara zote zinahitahi nidhamu ya fedha ila kuna ambazo hazina risk kubwa ya kula mtaji kama hii ya duka la mangi. Biashara zingine nyingi faida yake huwa karibia sawa na bei uliyonunulia mzigo kwa hiyo ukila hata 20% percent ya mauzo bado unakuwa hujagusa mtaji.
 
Back
Top Bottom