Kama huna ndoa bado hujapata raha ya dunia

Kama huna ndoa bado hujapata raha ya dunia

me sipo kwenye ndoa na sigemei kwa kipindi hiki labda baada ya miaka 10 baadae

nikija kwenye mada mimi naona hiyo heading yako ingekaa hivi “kama wewe ni mwanamke huna ndoa basi hujapata raha ya dunia” sababu mimi naona mwanamke akiolewa kwanza inamjengea heshima kubwa pia anakua ametimiza ndoto yake ya miaka mingi na mengineyo ila kwa mwanaume ndoa ni kama kitanzi yaani unajitundika mwenyewe kwanini???.........
Na kwa mentality hiyo uishi peke yako tu usijemuingiza mtoto wa watu ktk kitanzi cha maisha.
 
Haya mbona huwa hamyasemi mnapowasakama wanawake kuhusu kuolewa!!!
Nani amewasakama wanawake kuhusu kuolewa?

Mimi nimeuliza ni faida zipi anazopata muoaji tofauti na ambaye hajaoa?

Nataka tu niorodheshewe.
 
tufafanulie mkuu
Sasa km mtu anamuoa dada wa watu alafu mama mkwe anamwambia mwanae usimshirikishe mkeo chochote uachofanya na familia inakuwa km inakutenga bila sababu only kwa kuwa wewe ni kabila flan sasa hiyo ndoa ama kikaango?maana ya ndoa hapo haipo
 
Back
Top Bottom