Kama huna kitu hupati mtu mwenye kitu

Kama huna kitu hupati mtu mwenye kitu

Yani akili zenu sijui huwaga mnazitoa wapi yani unaweza ukamdharau mwenye laki 5 kwenye wallet ukaenda kuliwa bure kimasihara na mwenye kiIST cha shemeji yake...bull ish
 
1. Nipe nikupe raha tupate ......

2. Nilishe nikulishe, ni ishara ya upendo....

Upendo (huvumilia, hautakabari, hauhesabu mabaya, haujivuni, hauhusudu mabaya ....)

Mtu asiye na upendo daima hana furaha!!!

Bibi Matata.
 
Back
Top Bottom