Kama huna jambo jema la kuzungumza, basi kaa kimya…!

Halina ubishi kuwa kukaa kimya (hata kama wewe si mkimya) ukiwa na hasira ni dawa. Lakini tusisahau kuwa kuongea pia ni hulka. Hivyo ni ngumu sana kwa muongeaji kukaa kimya.

Na kwa experience yangu mtu mwongeaji akikaa kimya utatamani aongee maana huo mnuno utakuwa una speak louder than voice.

Kukaa kimya ni one thing...ku pretend as if nothing happened ni another; mimi mume wangu anapenda niongee nikiwa na kitu maana nikikaa kimya namuona anavyohangaika...nyumba inakuwa ndogo...anaweza asile hata kula. Utasikia 'mbona umenuna?; Mi: 'Kwani nimenuna?' Yeye sasa ndio anaanza kununa mara mbili yangu, kisa mimi nimemnunia; inabidi nianze kujiongelesha mwenyewe.
sema wewe kiazi,mie mhogo nina mzizi!
 
"If you do not have anything good to say, don't say anything at all"

ღ♥ღ Prophet Muhammad - peace be upon him - ღ♥ღ
 
slide-130.jpg

Asabaya
kama hivi...., ndio mpango mzima..... hapo hata tunda haliliki mwanawane

mh! nakumbuka saturday moja hali ilkuwa hivyo halafu tumeshinda hom wote ilipofika sa moja uvumilivu ukanishinda nikazama kwa zipu na kutafuta vinavyonihusu.

nikajipakulia mwenyewe wakati naanza kula jamaa akanipa ushirikiano mweeeeeeee kitu kilinogajeee kumaliza tushasameheana kilichofuata nikuoga na kwenda club,mapenz jamani we acha tu.
 
Haya na wale wanawake wenye kupenda kugeuzwa ngoma ya mdumange hadi reception inabomolewa wanawekwa ktk kundi gani?
Manake atachonga mdomo weeee kumbe anasubiri ngumi ili afunge mdomo wake. kwa lugha nyepesi, anapenda kudundwa.
 
Mh kununa jamani kunatisha
Bora mtu uyaseme ya moyoni yaishe, maana mnuno unamajibu mengi likiwemo la dharau.
Mimi siwezi kupata usingizi nikinuniwa, lazima ntatafuta sululu kabla ya kulala.
 
Mh kununa jamani kunatisha
Bora mtu uyaseme ya moyoni yaishe, maana mnuno unamajibu mengi likiwemo la dharau.
Mimi siwezi kupata usingizi nikinuniwa, lazima ntatafuta sululu kabla ya kulala.
NATA sidhani kama nilizungumzia kununa katika uzi huu, mie nimezungumzia kunyamaza wakati mwenzako anapo-RAP.... Namaanisha kwamba, kuna wakati mwenzako anaweza kupandwa na hasira kupita kiasi na akawa anafoka kwa hasira, iwapo utajaribu kujibu hoja, inaweza kuleta mtafaruku mkubwa zaidi, na hapo ndipo inaposhauriwa kwamba wakati mwingine kuna umuhimu wa kukaa kimya ilikuepusha kisirani kikubwa zaidi...
 
Last edited by a moderator:

OOK Mtambuzi niridhani kununa, hii ya kunyamaza wakati mmoja anaongea ni nzuri kwani mkipiga kelele wote patakuwa hapatoshi na hamtaelewana kabisa. thanks .
 
Last edited by a moderator:
:eyebrows: sangwini hata awezi kaa kimya hata kama hana kitu cha kuongea, Melankoliki aah! yeye hata kama lipo lakuongea anaweza kaa kimya.. tu
 
Haya na wale wanawake wenye kupenda kugeuzwa ngoma ya mdumange hadi reception inabomolewa wanawekwa ktk kundi gani?
Manake atachonga mdomo weeee kumbe anasubiri ngumi ili afunge mdomo wake. kwa lugha nyepesi, anapenda kudundwa.
halafu akishadundwa baadae hufuraia sana tendo na kilio cha furaha atatoa wakati akidundwa anakimbilia fagio eti kulipiza.
 
Mtambuzi asante sana kwa uzi huu
Ila naamini kukaa kimya ni uamuzi mzuri sana kuliko kuendelea kujibizana na kupandisha hasira zaidi
Hata kama jambo hilo linakukera au umelikuta ndivyo sivyo bora kuwa na uamuzi wa kukaa kimya kuepuka malumbano zaidi
 
Last edited by a moderator:
mh! nakumbuka saturday moja hali ilkuwa hivyo halafu tumeshinda hom wote ilipofika sa moja uvumilivu ukanishinda nikazama kwa zipu na kutafuta vinavyonihusu.

nikajipakulia mwenyewe wakati naanza kula jamaa akanipa ushirikiano mweeeeeeee kitu kilinogajeee kumaliza tushasameheana kilichofuata nikuoga na kwenda club,mapenz jamani we acha tu.
Ha ha ha ha haaaaaa

Hii Thread ilinipita pitaje, yaani we mdada umenichekesha ile mbaya hadi mbavu zinaniuma.
Nimefurahishwa na akina snowhite, nyumba kubwa, BelindaJacob, NATA na Asabaya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom