Kama hukusoma/husomi chuo cha serikali, pole sana!!!

Shule za serikali ni asara tu kama walimu ndio hao wakina bashite pyuuuu tema mate ccm walishaharibu Elimu ya Tanzania pool kabisa.

Swissme
 
Man usijaribu kuvipandisha vyuo vya serikali. Mm nimepata bahati ya kusoma vyote. Both private na goverment... na nikwambia tu at the end ni juhudi zako mwenyewe...
Usipo jishughulisha utatoka empty
 
Najua mnaosoma vyuo vya st, mmenielewa.
1. Hawa ndio wanaoongoza kwau uoga
2. Hawa ndio wanaoongoza kwa kuishi maisha kama ya primary au secondary ( sheria za vyuo)
Ongezea na mengine
:) kwenye number 2 hapo kweli kabisa, kuna chuo wanatengenezewa hadi counter book zenye logo ya chuo na, hata kama huna kipindi kaa darasani kimyaa ujisomee ukiondoka kabla ya saa tisa muda wa roll call imekula kwako :) :) hata secondary sikusoma hivi
 
Umeona eeeeee
 
Hahaha, Saint Joseph Mkuu
 
Back
Top Bottom