ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini.. yaani kinga ya mwili inapungua, hii inatokana na sababu mbalimbali na ili kuzirudisha inatakiwa ule mlo uliokamilika, maji mengi na mazoezi ya wastani, hata hapo ulipo inawezekana kinga yako imepungua ila sababu wabongo hatuna utaratibu wa kupima afya, achana na habari za ARV's.. viwanda vya madawa havitengenezi tiba vinatengeneza wateja