Kama hujayapitia haya maisha, kubali umekosa mengi

Kina mama bana....kwa hiyo unapiga plet ugali maharage mchana...ukimaliza hapo hapo unapiga wali nyama cha usiku na lazima umalize.....ha haa
 
Ulikua ujinga..

Nakumbuka mnaenda kwenye majani wavulana na wasichana mnaanza kuonyeshana vikojeleo, na kuchekana eti ona vifupi wengine ona virefu.. mnafunika na mnaendelea kucheza ...
Ndio utoto wenyewe, tumekuwa wakubwa, tumeacha!
 
Hii cha mtoto, sisi tulikuwa tunachukua tairi la lori au trekta unaingia hapo katikati unajikunja then wenzio wanakusukuma! Siku ingine wanakusukuma wanapoteza muelekeo wanakuacha upambane na hali yako!
View attachment 1101131
sitasahau kuna siku nasukuma tairi la trekta likanishinda bhna mbaya zaidi ilikua kwenye mteremko, kuna mama mmoja alikua anapika vitumbua pembeni ya barabara lilimbutua yule mama akavunjika mkono aisee. Sitasahau ule msala
 
apo hakuna steji niliyoruka ata moja.. asee kama kuna mtu hakupta uku alikosa burudani...enzi inzo wadada wakubwa wakisema mambo..nasema ni demu wangu uyo..yani atakaesema mambo najua kanielewaa,,kumbe wala ni salamu tu....au ukute umefanya tukio afu ni mchana,,basi unacheza weee,ikfka jioni unaigopa kurudi home..kwakua hakuna pa kwenda,,uunajikaza..ukifka unaanza kuosha vyombo,,unafagia uwanja,,,,unajipendekeza ili bi mkubwa asimwambie mzee ujinga uloufanyaa..basi mama kwa upendo wake anacheka na hakusemeii...dah wakina mama aseee waachwe tuu.. they are best of the bestest
 
pole
 
Kina mama bana....kwa hiyo unapiga plet ugali maharage mchana...ukimaliza hapo hapo unapiga wali nyama cha usiku na lazima umalize.....ha haa
Yaani my mummy was something else.
Hakutaka kusikia umekula kwa watu.
Cha ajabu sasa, nikikuwa na marafiki wakubwa watatu. Mama zetu walikuwa misimamo ya kufanana ila wenzangu walikuwa wanapata adhabu tofauti.
Nikila kwao mchana lazima waje tupige kolabo kwetu jion kuua soo. Baada ya hapo tunawasindikiza kwao
 
Haaaaa


Eti unaosha vyombo, fagia nyumba yote, fagia uwanja,

Kumbe hii mbinu ilifanya kazi mwa wengi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…