Kama hujaoa/olewa unaliweza hili?

Haya nayo ni moja ya maajabu mengine!!
Anyway, we dare to talk openly.
 
Nasikia mtu anafanya vituko akilewa eti kesho yake hakumbuki kuna mshikaji wangu alinipa siri alisema unakuwa unakumbuka ila inabidi upotezee eti "hukumbuki" hehehehe

Hiyo ya huyu jamaa kwenye reproduction tulisoma inaitwa uchevushaji pweke............

mmmhh mwenzangu
kweli kuna saa mtu yuko chakara hakumbuki kitu..
lakini kuna wala wanatafuta njia ya kufanya
au kusema vitu kwa hiyo wanaenda kutundika mzinga..
halafu kesho anakupigia "POMBE KITU KIBAYA SANA
HOPEFUL SIKU SEMA KITU CHOCHOTE KIBAYA"
hapo nia yake ni iliumwambie alisema nini
halafu anakupigia
"MIMI NILISEMA HIVYO KWELI"?
"oooo DEAR SIKUMBUKI KITU"
"NAOMBA UNISAMEHE BURE"
"WEWE UNANIJUA MIMI ISINGELIKUWA POMBE NISINGE SEMA HAYO MAMBO"
mie wanywaji nawasikilizaga tu..
wengi hawanidanganyi maana mie binafsi
na kunywa lakini ili ni burudike na si kulewa..
 
Kwa kifupi wakuu hio ni kitu ilitokea.na jinsi rafiki yangu alivyonieleza nilimwambia sitamjibu ila atapata msaada wa kumtosha JF..NA hata sasa tumepitia majibu yote mliochangia nikiwa nae hapa..ila yeye tayari alikuwa amefanya uamuzi usiku huo huo..aliamua kumpiga kibuti demu wake hapo na akatoka kwa hasira na kumuacha rafikie na hao madem wawili..ushauri wenu ameupokea na anawapa wachangiaji wote THANKXXXX KWA MPIGO!!
 
Mimi ningewatimua, kwa sababu wataendelea kuwawinda mmoja mmoja mpaka kieleweke! Hao ni wa kuuma na kuacha!
 
Back
Top Bottom