Kama hujafanya haya wewe haujakaa uswazi. (uswahilini)

10.kufukuzia mdundiko hadi unajikuta umefika mtaa wa mbaali na nyumbani...kurudi sasa ndio issue,na giza limeingia,so una uhakika wa kumkuta mama ankusubiri mlangoni na bakora
11.kuweka foleeni kwa mawe enzi Ile mnasubiri mgawo wa sukari au mchele duka la kaya

12. Kuokota vyuma chakavu na kwenda kupima enzi hizo kilo moja Tsh. 20. Kipindi hicho kila cku polisi kitaa hawaishi mara leo wamekuja kukamata wamaza wauza gongo kesho wacheza kamari yaani burudani mpaka basi
 
John locke hapo mkoa wa mara nini?
 
Last edited by a moderator:
8.kuangala video ya mabox mnatoboa box kwenye tobo unaweka karatasi nyeupe mtu anakaa nyuma na kibatari na watu wa kuchonga kwa box then anawapiganisha waangaliaji full burudani.
9.kusukumiza magari halafu likiwaka mnapanda mnapelekwa mbali kinoma mwenyeshe anawas

iyo nmb 8 umenkumbusha mbali 2likua 2natoa kiinglio sh 20. Teh teh teh! Utoto una raha yake bana cjui ujana na uzee tupa kule.
 
8.kuangala video ya mabox mnatoboa box kwenye tobo unaweka karatasi nyeupe mtu anakaa nyuma na kibatari na watu wa kuchonga kwa box then anawapiganisha waangaliaji full burudani.
9.kusukumiza magari halafu likiwaka mnapanda mnapelekwa mbali kinoma mwenyeshe anawas

hiyo namba 8 umenikumbush mbali isee.
 
kucheza kombolela ili upate nafasi ya kujificha nadem unayemtamani umle uroda......kusaka paka na mbwa ili uwaue
 
kucheza kombolela ili upate nafasi ya kujificha nadem unayemtamani umle uroda......kusaka paka na mbwa ili uwaue

Kusaka paka, dah we acha, tulikua 2nadamka sa 12 mkuu, halafu tulikua tunawaita mateja.
 
Me nakumbuka viwili tu
1. Kusimamisha daladala, ile inasimama tu na sie nduki tunasepa
2. Kuua mijusi kwa chelewa, unachukua bomba la kalamu enzi hzo BIC tu ndo zilikuwepo, halafu unafunga mpira kwa juu na kuingza chelewa, ukimuona mjusi unaanza kumlenga mpk umchome afe.
 
Nakumbuka tulikuwa tukitumwa dukani haturudishi chenji tunaenda kununua supu ya mapupu mixer miguu ya kuku na utumbo na kachori za kutosha. Ha ha ha ha ha way back then!
 
dah,me nlikuwa naogopa kuoga maji baridi.nkiingia bafuni napaka maji kichwan thn miguun afu natoka kwa kunyata. cku 1 mamy kanibamba kucheck mgongon kukavu,tumbon hakuna hata tone la maji. nilipewa bakora za kutosha nikakoma!
 
Nakumbuka ngoma za vinyago ya wamakonde, njoo chemba ya wamwera,singenge ya wamatumbi na mdundiko wa wazaramu ilikuwa ni full shangwe kila j'mos na j'2
 
kama hujafanya mambo haya hujakaa uswazi
1. Kulilia soda ya mgeni
2. Kukataa kuoga
3. Kukataa kwenda shule kwa kusingizia unaumwa
4. Kutochez mbali na nyumbani siku ya sikukuu ili ufaidi pilau
5. Kulamba kamasi
6. Kucheza kombolela/kidali au kibaba na mama
7. Kwenda kuangalia muvi kwenye mabanda ya video.
Haya wadau tuendelee na mengine ambayo nimeyasahau.

4,6,na 7 nimo
 
4,6,na 7 nimo,ila hata kwenda kuwinda ndege na kuvua dagaa mtoni
 
Du umenikumbusha mbali na sio Uswazi tu hata Uzunguni ni maisha ya mTZ hayo
 
Pia mkienda kuoga mtoni,wanaume wamevaa chup za VIP na wanawake wana magaguro au CHUPI ZA TAIWANI,,,,NYEKUNDU AU NYEUSI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom