Kama hujafanya haya wewe haujakaa uswazi. (uswahilini) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama hujafanya haya wewe haujakaa uswazi. (uswahilini)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by hamic mussa, May 4, 2012.

 1. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hujafanya mambo haya hujakaa uswazi
  1. Kulilia soda ya mgeni
  2. Kukataa kuoga
  3. Kukataa kwenda shule kwa kusingizia unaumwa
  4. Kutochez mbali na nyumbani siku ya sikukuu ili ufaidi pilau
  5. Kulamba kamasi
  6. Kucheza kombolela/kidali au kibaba na mama
  7. Kwenda kuangalia muvi kwenye mabanda ya video.
  Haya wadau tuendelee na mengine ambayo nimeyasahau.
   
 2. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kula chabo
   
 3. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh! Aisee umenkumbusha mbali sana kuhusu mambo ya chabo.
   
 4. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 80
  Kuwa na nguo/viatu oversize ili ukue navyo.
  kutonawa mikono baada ya kula nyama ili wenzako wajue leo mmekula nyama.
   
 5. K

  Kingsimba JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Daaa magomeni ilikua lingi!kigogo magari ya udongo.....hahaha kwa bibi kijiji jioni ikifika tuu lazima ukae karibu na bibi ili uonje mbege hahaha!siyui itakuaje babu akitokea ghafla time hizi lazima ukazungushe zungushe usukani huku gali alitembe......duuuu nimekumbuka nilikua nikiona masabuli ya binadamu nacheka sana........
   
 6. c

  chief72 JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mimi nilikuwa kiboko, chabo utamu mtupu
   
 7. G

  Gagso Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaelekea ulikuwa bingwa sana?
   
 8. Steang

  Steang JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa mtoto wa kiume chandim,na kuoga kwenye mito.
   
 9. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hujacheza kidali po
  Komborela
  Hujaangalia picha za Vandame, Shwaziniga...
   
 10. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tena bingwa kweli.
   
 11. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chabo ina raha yake bana.
   
 12. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chandim nd'o ucseme kabisa.sasa balaa lilikua linakuja kwenye TOBO BAO!
   
 13. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah ki ukweli uswahilini raha na utamu vinanogesha..Mambo mengine ni:
  1.Kutoroka nyumbani ucku na kwenda kuangalia movie za pilau,
  2.Kula msosi kwa jirani halafu kupaka vumbi mkononi ili nyumbani wasishtukie.
  3.Kuunda kibubu ili uhifadhi fedha kwa ajili ya cku kuu.
  4.Kushindana kupiga pl
  5.Kukimbilia gari la matangazo....nitarudi tena.
   
 14. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi hapo kwenye namba mbili. Hahahahaha!
   
 15. M

  Marygrayce Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ooh mmesahau hii kushangilia umeme ukirud baada ya kukatika
   
 16. Z

  Ziege liebe Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.kuchezea mvua 2.kuwinda ndege, 3.kuoga siku wali unapikwa
   
 17. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh! Yaan hizo kelele zako usipime.
   
 18. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  1. Kuinda ndege makaburini. 2. Kuvua samaki mtoni. 3. Kucheza kombolela. 4. Kumtamani baba wa mwenzio awe baba yako kwa vile wana baiskeli. 5. Kudandia magari. 6. Kucheza usiku wakati wa mbalamwezi...
   
 19. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mchezo mmja tulikua tunakusanya mchanga halafu pale katikati tunaweka kijiti.tuna kusanyika na kuanza kufukua pembeni huku tunaimba"tule tule tumbakizie baba"*kadhaa.atakaye angusha kijiti.tuna mpiga ila akituzidi mbio ndio salama yake.ilikuwa katiya 1985-1989.dah kitambo sana.
   
 20. D

  Dogo-mu Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hyo namba 3 umenikosha coz wiki ilikuwa haipiti bila kuumwa duuuuh utoto we acha tu!
   
Loading...